SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED | VPL 18.01.2018
SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED | VPL 18.01.2018

Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- MSHAMBULIAJI Mganda Emmanuel Arnord Okwi ametokea benchi na kufunga mabao mawili Simba SC ikishinda 4-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam



OKWI HUYU HAPA:ATUMA SALAMU MECHI IJAYO YA KAGERA SUGAR
OKWI HUYU HAPA:ATUMA SALAMU MECHI IJAYO YA KAGERA SUGAR

Please watch: "MAGOLI YOTE YA SIMBA 5 - 0 MBAO" https://www.youtube.com/watch?v=lU7L3hP4BP0 --~-- MSHAMBULIAJI Mganda Emmanuel Arnord Okwi ametokea benchi na kufunga mabao mawili Simba SC ikishinda 4-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaifanya Simba SC ifikishe pointi 29, baada ya kucheza mechi 13, ikiwazidi pointi saba mabingwa watetezi, Yanga SC na pointi mbili Azam FC wenye 27 katika nafasi ya pili, wakati Mtibwa Sugar sasa ni ya tatu kwa pointi zae 24 baada ya timu zote kucheza mechi 13. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Jacob Adongo wa Mara, aliyesaidiwa na Mohammed Mkono wa Tanga na Gasper Ketto wa Arusha hadi mapumziko Simba SC walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-0. Kiungo Shiza Ramadhani Kichuya alianza kuifungia Simba SC dakika ya tatu akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na kiungo mkongwe Mwinyi Kazimoto, kufuatia John Raphael Bocco kuangushwa nje kidogo ya boksi. Singida wakacharuka na kuanza kupeleka mashambulizi mfululizo langoni mwa Simba kusaka bao la kusawazisha, lakini ngome ya Wekundu wa Msimbazi ikiongozwa na Erasto Edward Nyoni ilikuwa imara kuondosha hatari zote. Beki Mghana, Asante Kwasi akaifungia Simba SC bao la pili dakika ya 25 akimvisha kanzu kipa Peter Manyika aliyetoka langoni bila hesabu nzuri baada ya pasi ndefu ya kiungo Said Ndemla aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Kazimoto. Bao hilo lilionekana kuwachanganya Singida United wanaofundishwa na kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm na kuwaruhusu Simba kutawala zaidi mchezo huo. Kipindi cha pili, mashabiki wa Simba SC wakaripuka kwa shangwe baada ya kumuona kocha wao mpya, Mfaransa Pierre Lechantre aliyeongozana na msaidizi wakea, kocha wa viungo, Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi jukwaa kuu. Kocha huyo amekuja kusaini mkataba wa kuifundisha Simba kuchukua nafasi ya Mcameroon, Joseph Marius Omog aliyeondolewa Desemba na atafanya kazi na Mrundi, Masudi Juma ambaye amekuwa akiiongoza tangu kipindi chote hiki. Okwi akatokea benchi dakika ya 65 kuchukua nafasi ya kiungo Muzamil Yassin na akafunga mabao mawili ndani ya dakika saba. Alifunga bao la tatu dakika ya 75 akimalizia pasi ya Shiza Kichuya na la nne dakika ya 82 akimalizia pasi ya Ndemla. Alifunga mabao hayo, baada ya kumsetia pasi nzuri Kichuya, akapiga nje akiwa ndani ya sita. Kikosi cha Simba SC leo kilikuwa; Aishi Manula, Nicholas Gyan, Asante Kwasi, Juuko Murshid, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, James Kotei/Mohammed Ibrahim dk88, Mwinyi Kazimoto/Said Ndemla dk22, John Bocco, Shiza Kichuyana Muzamil Yassin/Emmanuel Okwi dk65. Singida United; Peter Manyika, Michael Rusheshangoga, Shafiq Batambuze, Kennedy Wilson, Malik Antiri, Mudathir Yahya, Deus Kaseke, Tafadzwa Kutinyu/Yussuf Kagoma79, Lubinda Mundia/Kenny Ally76, Kambale Salita Gentil na Kiggi Makassy/Salum Chukwu dk62.



CECAFA: Rwanda 2 Tanzania 1, Zanzibar 0 Kenya 0
CECAFA: Rwanda 2 Tanzania 1, Zanzibar 0 Kenya 0

Muthenya wa umuthi ni ngucanio 2 cithakirwo ngucanio-ini cia CECAFA Senior Challenge Cup kuria ngucanio ciothe cithakiirwo kiharo-ini kia Kenyatta kaunti ya Machakos. Ngucanio ya mbere timu ya Rwanda Amavubi makorirwo makiandikithia uhotani wa mbao 2-1 magithaka na Kili Stars. Riu timu ya Tanzania itigaritie ngucanio 1 na timu ya Kenya kuria mwihoko wao wa kuingira ikinya riu ringi ukinyite muthia thutha wao kuhotwo ngucanio 2 na guthie droo ngucanio 1. Ngucanio ya 2 igukuruhanagia timu ya Zanzibar na timu ya Harambee Stars kuria ngucanio ino ikorirwo igitie droo ya kwaga kuingirania mbao. Riu timu ya Zanzibar niyo timu ya mbere kwigatira mweke wa QF thengia yao gukorwo matigaritie ngucanio imwe na timu ya Libya.



Ngucanio cia CECAFA: Rwanda vs Tanzania; Zanzibar vs Kenya
Ngucanio cia CECAFA: Rwanda vs Tanzania; Zanzibar vs Kenya

Muthenya wa umuthi ni ngucanio imwe ikorirwo igithakwo thiini wa ngucanio cia CECAFA  ikereka ria 39 iria cirathakirwo guku bururi-ini. Ngucanio ino imwe ithakiirwo kiharo-ini kia  Bukhungu kuria timu ya Uganda aria nio ateteri a gikombe giki mandikithirie uhotani wa mbao 3-1 magithaka na timu ya South Sudan. Muthenya wa ruciu gutanyitewo guthakwo ngucanio 2 kiharo-ini kia Machakos. Ngucanio ya mbere timu ya Rwanda Amavubi magakorwo magithaka na timu ya Tanzania  kuria timu ciothe cina pointi 1-1 nayo ngucanio ya 2 igakorwo igikuruhania atongoria a ngurubu ino Zanzibar aria mena pointi 6 na timu ya Kenya aria mena pointi 4.



CECAFA: Tanzania 1 Zanzibar 2,Rwanda 0 Libya 0
CECAFA: Tanzania 1 Zanzibar 2,Rwanda 0 Libya 0

Ngucanio cia gwetha njorua wa mbitika cia CECAFA nicingirire thiku ya 4 umuthi kiharo-ini kia Machakos na Bhukungu county ya Kakemega. Hari ngucanio 3 iria ciathakwo Zanzibar mathiturire Tanzania na kumagutha na mbao 2-1 thengia wa imwana cia Makufuli gutongoria. Kasim Suleiman na Ibrahim Hamad nio maingiriirie Zanzibar riu islanders kana Zanzibar nimarugire Kenya utongoria wa group A. Ngucanio ingi ya group A Libya mauma ndiroo ya kibugu na Rwanda aria marigitie ngurubu ino.



Uganda cranes guthie draw na Burundi
Uganda cranes guthie draw na Burundi

Ngucanio imwe niyo ithakirwo muthenya wa umuthi thiini wa ngucanio cia cecafa iria ciranjiriirie guthakwo muthenya wa ira. Ngucanio ya umuthi igukuruhanagia timu ya Uganda aria ni ahotani a gikombe giki maita 14 na timu ya Burundi ngucanio iria timu ici ciothe citanakorwo cikiingirania mbao thi-ini wa ndagika 90.



Azam TV - Je, huu ni ushirikina mechi ya Lipuli FC dhidi ya Mbao FC?
Azam TV - Je, huu ni ushirikina mechi ya Lipuli FC dhidi ya Mbao FC?

Ni tukio lililotokea kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Lipuli FC na Mbao FC katika dimba la Samora mjini Iringa ambapo Seif Abdallah Karihe wa Lipuli FC alinaswa na kamera za Azam TV.




« Previous Next »


Popular Tags

#Cleveland Cavaliers  #Best Goals  #Thomas Muller  #Stephen Curry  #Mesut Ozil  #Neymar  #Goal Celebrations  #Michael Jordan  #Kawhi Leonard  #Paul George  

Popular Users

#ArianFoster  #nyt4thdownbot  #rogerfederer  #serenawilliams  #darrenrovell  #iamsrk  #ochocinco  #BizNasty2point0  #BrunoMars  #RobbieSavage8  #Buster_ESPN  #KDTrey5  #twitter  #espn  #realmadrid