Baada ya miaka 39 leo Tanzana wameingia katika mashindano ya AFCON 2019 yatakayofanyika nchini misri Subscribe ,Like ,Comment
Samatta, Bocco, Msuva, Nyoni Walivyoingia Uwanjani Waswahili husema leo ndio leo asemaye kesho muongo, na kauli hiyo inajithibitisha yenyewe leo Machi 24, siku ambayo Watanzania walikuwa wakiisubiri kwa hamu ili kuushushudia mchezo kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Timu ya taifa ya Uganda (Taifa Stars Vs Uganda)... Mchezo huo utachezwa masaa machache yajayo katika dimba la uwanja wa taifa jijini Dar, ambapo Taifa Stars wanawania kufuzu katika mashindano ya ligi ya mabingwa wa Afrika (AFCON).... Kabla ya mchezo huo kuanza kwanza ikatolewa burudani ya kuchangamsha akili... #TaifaStarsVsUganda https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
TAIFA STARS Vs UGANDA - Hali Ilivyo Uwanjani Waswahili husema leo ndio leo asemaye kesho muongo, na kauli hioyo inajithibitisha yenyewe leo Machi 24, siku ambayo Watanzania walikuwa wakiisubiri kwa hamu ili kuushushudia mchezo kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Timu ya taifa ya Uganda (Taifa Stars Vs Uganda)... Mchezo huo utachezwa masaa machache yajayo katika dimba la uwanja wa taifa jijini Dar, ambapo Taifa Stars wanawania kufuzu katika mashindano ya ligi ya mabingwa wa Afrika (AFCON).... Global TV imefika mapema katika uwanja wa Taifa na kukuletea hali ilivyo kwa sasa ... #TaifaStarsVsUganda https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
OKWI Alivyoongoza MAZOEZI ya Kikosi cha UGANDA Leo Ikiwa yamebaki masaa machache tu kuifikia Jumapili ya Machi 24, siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuumana na timu ya taifa ya Uganda, kuwani ushindi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (AFCON)... Taifa Stars wamefanya mazoezi ya mwisho leo Machi 23, ya kujiweka sawa kuweza kuvaana na Uganda... #TZVsUGANDA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA wa UGANDA Awatisha TAIFA STARS "Tutawafunga" Ikiwa yamebaki masaa machache tu kuifikia Jumapili ya Machi 24, siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuumana na timu ya taifa ya Uganda, kuwani ushindi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (AFCON)... Kocha Mkuu wa Uganda amezungumza na waandishi na kuuzungumzia mchezo huo... #TZVsUGANDA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Droo ya CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa Jumatano Machi 20, 2019 nchini Misri na wawakilishi pekee wa Tanzania, Wekundu wa Msimbazi Simba watacheza na TP Mazembe katika hatua hiyo na wataanzia nyumbani. #SimbaSC imefuzu robo fainali ikitokea Kundi D pamoja na Al Ahly iliyopangiwa kucheza na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika hatua hiyo na kuziacha AS Vita ya Congo na JS Saoura ambazo zitabaki kuwa watazamaji. Wekundu hao wataanzia nyumbani mchezo utakaopigwa kati ya Aprili 5-6, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na mechi ya marudiano itapigwa Lubumbashi, Congo kati ya Aprili 12-13. Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya wawakilishi wa Simba, Mtendaji Mkuu, Crescentus Magori na Mwenyekiti Swedi Nkwabi na ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki pamoja na wadau wa soka Afrika kwa jumla. Simba inacheza na #TPMazembe ambayo walikutana nayo kwa mara ya mwisho mwaka 2012 katika mashindano hayo. Katika mchezo huo, Simba walifungwa lakini walipata nafasi ya kusonga mbele baada ya TP Mazembe kukutwa na makosa ya kumchezesha mchezaji asiye na sifa. Ratiba kamili CS Constantine ya Algeria VS Esperance de Tunis ya Tunisia Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini VS Al Ahly ya Misri Horoya ya Guinea VS Wydady Casablanca ya Morocco Simba ya Tanzania VS TP Mazembe ya Congo Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simba Sports Club, Mohammed Dewji 'Mo' amesema malengo makubwa ya klabu ni kuona inafanikiwa kupata matokeo chanya. "WanaSimba na Watanzania kama tutajitokeza kwa wingi siku ya jumanne nina imani tutawafunga Al Ahly na tukiwafunga tutakuwa na nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. "Shabaha yetu ilikuwa kufika kwenye makundi na tumefanikiwa na shabaha yetu nyingine ni kutetea kombe la Ligi Kuu ili tuendelee kushiriki mashindano haya," alisema. Mwenyekiti wa Simba, Sued Mkwabi amesema kwamba "Simba ikifanya vizuri faida ni kwa nchi yetu kuweza kupata mwakilishi zaidi ya mmoja kwenye mashindano yajayo, muhimu Wanasimba na wasio Wanasimba wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu ambayo ndio inawakilisha nchi yetu kwenye mashindano ya kimataifa,". Simba wapo kundi D kwenye hatua ya makundi ambapo kinara ni Al Ahly akiwa na pointi nne akifuatia na AS Vita ambaye ana pointi tatu huku Simba ikiwa nafasi ya tatu na pointi tatu na JS Saoura wanashika nafasi ya nne wakiwa na pointi mbili. Wapinzani wao Al Ahly wanatarajiwa kutia timu alfajiri ya kesho tayari kwa mchezo utakaopigwa Uwanja wa Taifa. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania, Simba SC hii leo wameyaanza kwa kishindo mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar. Ile dozi ya 4G imeanza leo huku Chipukizi FC wakiwa 'wahanga' wa kwanza. Tazama mabao yote ya Simba SC yakiwekwa nyavuni na Meddie Kagere, Nicolaus Gyan na nahodha John Bocco.