FULL VIBE..!! TAZAMA walichokifanya wachezaji YANGA baada ya kutwaa UBINGWA NBC 2021/22
RASMI klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya 28 baada ya ukame wa misimu minne huku ikiwa na michezo mitatu mkononi kufuatia kuifunga Coastal Union ya Tanga mabao 3-0.