Magoli yote | Simba ilivyoifumua Ihefu 5-1 Chamazi | ASFC 07/04/2023
Magoli yote | Simba ilivyoifumua Ihefu 5-1 Chamazi | ASFC 07/04/2023

Kuna #hattrick kutoka kwa Jean Baleke dakika ya 28 za kwanza na pia kuna mengine mawili kutoka kwa Saidi Ntibazonkiza na Pape Ousman Sakho dakika ya 40 na 90+5… Simba wakapata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Ihefu SC kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Ni mechi ya robo fainali ya #AzamSportsFederationCup ikishuhudia Ihefu wakipata bao la kufutia machozi kupitia kwa Raphael Daud Loth dakika ya 61 na Simba kwenda nusu fainali ambako watakutana na Azam FC kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.

KPL | Gor Mahia imehifadhi pengo la alama sita kileleni pa ligi kuu ya soka humu nchini
KPL | Gor Mahia imehifadhi pengo la alama sita kileleni pa ligi kuu ya soka humu nchini

Gor Mahia imehifadhi pengo la alama sita kileleni pa ligi kuu ya soka humu nchini baada ya kuicharaza Vihiga Bullets mabao 5-0 ...

Yanga 3-1 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League 12/03/2023
Yanga 3-1 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League 12/03/2023

Yanga SC imeendeleza ubabe katika #NBCPremierLeague kwa kuwachapa Geita Gold mabao 3-1 kwenye Dimba la Azam ...

Magoli | Yanga 3-1 Geita Gold | NBC Premier League 12/03/2023
Magoli | Yanga 3-1 Geita Gold | NBC Premier League 12/03/2023

Yanga SC imeendeleza ubabe katika #NBCPremierLeague kwa kuwachapa Geita Gold mabao 3-1 kwenye Dimba la Azam ...

Namungo 2-3 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 11/03/2023
Namungo 2-3 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 11/03/2023

Timu ya Tanzania Prisons kwa mara ya kwanza imepata ushindi ugenini dhidi ya Namungo FC, ikiichapa mabao 3-2 kwenye ...

Magoli matano | Namungo 2-3 Tanzania Prisons | NBC Premier League 11/03/2023
Magoli matano | Namungo 2-3 Tanzania Prisons | NBC Premier League 11/03/2023

Timu ya Tanzania Prisons kwa mara ya kwanza imepata ushindi ugenini dhidi ya Namungo FC, ikiichapa mabao 3-2 kwenye ...

Mbeya City 1-2 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 10/03/2023
Mbeya City 1-2 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 10/03/2023

Ruvu Shooting wamezindukia Sokoine Stadium, Mbeya kwa kuichapa Mbeya City mabao 2-1 katika muendelezo wa Ligi Kuu ya ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Kevin Durant  #Best Football Defending Skills  #Best Goalkeeper Saves  #Best Goals Ever  #Counter Attack Goals Football  #Best Champions League  #Kawhi Leonard  #Shaquille O'Neal  #Chris Paul  

Popular Users

#UKCoachCalipari  #incarceratedbob  #taylorswift13  #hunterpence  #josecanseco  #Cristiano  #MileyCyrus  #tigerwoods  #JoelEmbiid  #SrBachchan  #HEELZiggler  #KimKardashian  #TheEllenShow  #JayBilas