JKT Tanzania 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/06/2026
JKT Tanzania 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/06/2026

Yanga SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuuya NBC 2025/26 kwa kishindo, ikiichapa JKT Tanzania mabao 3-0 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kutwaa ubingwa wa tano mfululizo. Magoli yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Laurindo Dilson Maria Depu.



Yanga 3-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 24/06/2026
Yanga 3-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 24/06/2026

Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Hii ni Ligi Kuu ya NBC, raundi ya 28 (bado mbili tu) Tazama highlights



Magoli | Yanga SC 3-0 Azam FC | NBC Premier League 24/06/2026
Magoli | Yanga SC 3-0 Azam FC | NBC Premier League 24/06/2026

Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Haya hapa magoli yote...



Kati ya Ronaldo na Messi nani mkali?
Kati ya Ronaldo na Messi nani mkali?

Lionel Messi ameendelea kuandika historia kwa herufi kubwa baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi muhimu dhidi ya Austria. Licha ya kukosa penalti mapema, nahodha huyo alionyesha utulivu na ubora wake kwa kufunga mabao mawili yaliyohakikisha timu yake inaondoka na pointi zote. Uchezaji wake umeendelea kuthibitisha kwa nini wengi humchukulia kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kutokea duniani. Mafanikio hayo yameongeza uzito kwenye mjadala wa muda mrefu kati yake na Cristiano Ronaldo. Wakati Ronaldo akisifiwa kwa uwezo wake wa kufunga na kudumu kileleni kwa miaka mingi, Messi anaendelea kuvunja rekodi na kuacha alama kubwa zaidi katika michuano mikubwa. Je, ushindi huu na rekodi anazoendelea kuweka zinatosha kumfanya awe juu ya mpinzani wake wa muda mrefu? Mwandishi wa BBC @kenanivictorna taarifa zaidi 🎥: @frankmavura #bbcswahili #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Simba SC 4-0 Coastal Union | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed, Cup 20/06/2026
Simba SC 4-0 Coastal Union | Highlights | Nusu Fainali CRDB Bank Fed, Cup 20/06/2026

Mnyama Simba ametinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwa kuichapa Coastal Union mabao 4-0 katika mchezo mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Libase Gueye, Nickson Kibabage, Rushine de Reuck kwa penati na Clatous Chama.



Magoli | Fountain Gate 0-2 Azam FC | NBC Premier League 12/06/2026
Magoli | Fountain Gate 0-2 Azam FC | NBC Premier League 12/06/2026

Jean Jaques Ngita na Jephte Kitambala Bola wameipa Azam FC magoli mawili muhimu ugenini wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha dhidi ya Fountain Gate FC. Haya hapa magoli yote mawili...



Clement Mzize alikuwepo uwanjani wakati Yanga Sc ikiifunga Namungo mabao.
Clement Mzize alikuwepo uwanjani wakati Yanga Sc ikiifunga Namungo mabao.

#MatokeoYaMechi #HighlightsZaMechi #UchambuziWaMpira #TransferNewsTanzania #BreakingNewsMpira #Yanga #YangaSC #YangaLeo #YangaNews #KikosiChaYanga #UsajiliWaYanga #YangaCAF #Simba #SimbaSC #SimbaLeo #SimbaNews #KikosiChaSimba #UsajiliWaSimba #SimbaCAF #AzamFC #AzamNews #CAFChampionsLeague #CAFCL #CAFConfederationCup #AFCON #TanzaniaFootball #MechiLeo #UtabiriWaMechi #MjadalaWaSoka #DerbyYaKariakoo #NBCPremierLeague #SokaAfrica #SportsNewsT #DerbyYaKariakoo #Yanga #YangaSC #YangaLeo #YangaNews #KikosiChaYanga #UsajiliWaYanga #YangaCAF #NguvuMoja #Wananchi #DaimaMbele #Simba #SimbaSC #SimbaLeo #SimbaNews #KikosiChaSimba #UsajiliWaSimba #SimbaCAF #Mnyama #NguvuMojaSimba #AzamFC #AzamNews #AzamLeo #KikosiChaAzam #UsajiliWaAzam #CAFCL #CAFChampionsLeague #CAFConfederationCup #AFCON #SokaAfrica #FootballAfrica #NBCPremierLeague #LigiKuuBara #MapambanoYaSoka #MjadalaWaSoka #UtabiriWaMechi #RatibaYaMechi #TakwimuZaMpira #MagoliLeo #GoliLaWiki #BestGoals #CleanSheet #Penalty #FreeKick #CornerKick #Offside #VAR #RefereeTZ #StadiumTZ #UwanjaWaMkapa



Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026
Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026

Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Wafungaji wa magoli haya ni Mohamed Hussein Zimbwe Jr,, Aurellio Depu, Mudathir Yahya, Prince Dube na Shekhan Ibrahim.




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #Gareth Bale  #Stephen Curry  #Neymar  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #Miami Heat  #Michael Jordan  #Shot Goals  #Sergio Aguero  

Popular Users

#LAKings  #realmadrid  #ArianFoster  #cnnbrk  #JohnCena  #fauxpelini  #KylieJenner  #jtimberlake  #BillGates  #CNN  #AdamSchefter  #Kaepernick7  #BarackObama  #iamsrk  #RobGronkowski