Content removal request!


AHMED ALLY Afunguka CHAMA, KIBU/TUTAWATOA SANDAKALAWE/Kama HATUMTAKI mchezaji Yeyote

Afisa Habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusu tetesi za Wachezaji Kibu Denis na Chama kutaka kuondoka klabuni hapo. Kwa mujibu wa Ahmed amesema kuwa mchezaji yeyote kama simba haimtaki itamuacha lakini kama wanamtaka atabaki SIMBA _________________________________________________________________________________ Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz _________________________________________________________________________________ Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp #KibuDenis #Chama #Simba