๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12
๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12

#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ,Samba Konรฉ (23) โœ…Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โŒKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja ๐ŸŸข๐ŸŸก HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC ๐Ÿ”ฐ 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Frank Assink 5.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Balla Contรฉ 6.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 7.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 8.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mohamed Doumbia 9.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 10.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 11.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua 12.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ Buba Jammeh 13.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Lassine Kouma 14.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Cรฉlestin Ecua



YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA
YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA

#Yangasc #Tetesizausajilimpya #WachezajiwapyaYangasc #alikamwe #hansrafael #Uchambuziwamichezo #mchomemapovu #Enghersisaidi Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Azizi Ki 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United. 4.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ,Samba Konรฉ (23) โœ…Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โŒKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 5. ๐ŸšจTaarifa za usajili zinaeleza kuwa klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 6. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja



Neno la kocha wa Klabu ya Azam Fc  Ibenge baada ya kupoteza mbele ya Young Africans siku ya Jana
Neno la kocha wa Klabu ya Azam Fc Ibenge baada ya kupoteza mbele ya Young Africans siku ya Jana

Neno la kocha wa Klabu ya Azam Fc Floreent Ibenge baada ya kupoteza mbele ya Young Africans siku ya Jana.



GODY YANGA : TUKIMKUTA MCHEZAJI KLABU TUNAMTANDIKA MAKOFI | TUNATAKA TFUCHUKUE UBINGWA KWANZA
GODY YANGA : TUKIMKUTA MCHEZAJI KLABU TUNAMTANDIKA MAKOFI | TUNATAKA TFUCHUKUE UBINGWA KWANZA

Welcome to TV3 โ€“ East Africaโ€™s Home of Sports, Entertainment & Lifestyle! โšฝ๐ŸฅŠ๐Ÿ€ ๐Ÿ“ก Watch TV3 SPORTS on: AzamTV: Channel 416 StarTimes: DTH-197 | DTT-131 ๐Ÿ“ Based in Dar es Salaam, Tanzania ๐ŸŒ Broadcasting in ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ In this video: ๐Ÿ”ฅ Full match coverage, highlights, press conferences, interviews, fan reactions & more. We cover: - NBC Premier League - Championship League Tanzania - Simba SC, Yanga SC, Azam FC - UEFA Champions League, EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga - Gossip, lifestyle, and Swahili sports commentary ๐Ÿ‘‰ Subscribe for daily sports content & updates! ๐Ÿ“ฒ Visit: www.tv3.co.tz ๐Ÿ“ท Follow us: @TV3TANZANIA | Powered by @QuantumInfinity.hq #TV3Sports #SimbaSC #YangaSC #TanzaniaSports #NBCPremierLeague #FootballAfrica #LiveSportsTanzania #SportsEntertainment #MichezoTanzania



Kim Jong Un akutana na  timu ya wanawake Korea Kaskazini
Kim Jong Un akutana na timu ya wanawake Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na kuwapongeza wachezaji wa klabu ya wanawake ya Naegohyang waliotwaa ubingwa wa Asia, pamoja na timu ya wasichana chini ya miaka 17, ambapo wote walionyesha furaha kubwa na hata kulia kwa hisia. Timu hiyo pia ilishinda dhidi ya timu ya Japan na imefuzu mashindano ya kimataifa yajayo, jambo linaloonyesha mafanikio makubwa ya soka la wanawake nchini Korea Kaskazini. #bbcswahili #kimjongun๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



SEIF SIMBA APAGAWA NA KUICHAPA TRA/ HUYU STEVE BARKER ACHANA NI BALAA TUPU/ AWAMWAGIA SIFA VIONGOZI
SEIF SIMBA APAGAWA NA KUICHAPA TRA/ HUYU STEVE BARKER ACHANA NI BALAA TUPU/ AWAMWAGIA SIFA VIONGOZI

Karibu Simba SC Fans Tv, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.



BREAKING: JEZI ZA YANGA ZINAPASWA KUFUNGIWA KWA KUFUNJA SHERIA NAMBA "4" YA FIFA/WANAWEKA VITU VINGI
BREAKING: JEZI ZA YANGA ZINAPASWA KUFUNGIWA KWA KUFUNJA SHERIA NAMBA "4" YA FIFA/WANAWEKA VITU VINGI

Simba Pro ni Channel maalum kwaajili ya mashabiki wa Simba ambayo inajihusisha na kuongelea klabu ya Simba kiundani, imebobea kwenye maswala ya usajili pamoja na uchambuzi wa michezo ya Simba Pia Simba Pro inafahamika ndani na nje ya nchi kuanzia Tanzania Kenya Uganda Burundi Congo United States Zambia China na Germany huko kote kuna watazamaji wanafatilia Channel hii Waendesha vipindi ni Heavyweight Dulla ambae anapatikana Instagram kama Heavyweight_dullah pamoja na Innocent Moshy ambae anapatikana Instagram na Tiktok kama Realmoshyy Simba Pro ndio channel ya mashbaiki wa simba inayofanya vizuri zaidi kuliko Channel yoyote ya mashabiki wa Simba Tanzania




« Previous Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Michael Jordan  #Ronaldinho  #Lionel Messi  #Chicago Bulls  #Russell Westbrook  #Best Goalkeeper Saves  #Russell Westbrook  #Manuel Neuer  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#twitter  #iamsrk  #britneyspears  #instagram  #DeionSanders  #cnnbrk  #AntDavis23  #espn  #BillGates  #RobGronkowski  #DanicaPatrick  #Harry_Styles  #realmadrid