Simba SC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos na kufuzu hatua ya makundi barani Afrika kwa faida ya goli la ugenini. Hii ni kufuatia sar ya mabao 2-2 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia na kufanya matokeo ya jumla yawe sare ya mabao 3-3. Katika mchezo wa leo, magoli yote yamefungwa na wachezaji wa Power Dynamos wakianza dakika ya 16 kupitia kwa Andy Boyeli na kisha kujifunga dakika ya 68 kupitia kwa Kondwani Chiboni.
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #HabariZaUhakika #Zinjibartv Follow Zinjibartv Facebook | Zinjibartv INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online Wasiliana nasi kupitia number +255 772 281 879 +255 773 071 409 Zinjibartv Journalists cc: Zuhura Hussein cc: Swaleh Watamaama cc: Ramadhan Yussuf Camera Department & Editors Dr D.sam DOP Kahale Kifelety Is-hak Juma Video Zingine: Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA https://youtu.be/BZwzHiPq0-I https://youtu.be/_CuV15b4nGA
Je ungependa Kuudhamini Uchambuzi wa SoccerData kisha nasi Tukakutaja kwenye Chambuzi Zetu? Njoo Inbox kwa Nmaba hizo hapo chini... 0710 679 388, NA 0627 532 401.
Huko Georgia alicheza kwa msimu mmoja kisha akajiunga na FAR Rabat ya Morocco alikokipiga kwa miezi sita kabla ya kuvunja mkataba, na mwanzoni mwa msimu huu alirejea nchini Rwanda na kujiunga na AS Kigali wakati akisubiri msimu uishe akacheze kwenye timu kubwa ambapo Simba ni miongoni mwa klabu zinazomuwinda. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #usajili #afcon2023
Amefunga Jacob Masawe dakika ya 23, kisha akafunga Shiza Kichuya dakika ya 74 kabla ya Abdulrazack Mohamed kufunga la ...
Amefunga Jacob Masawe dakika ya 23, kisha akafunga Shiza Kichuya dakika ya 74 kabla ya Abdulrazack Mohamed kufunga la ...
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #HabariZaUhakika #Zinjibartv Follow Zinjibartv Facebook | Zinjibartv INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online Wasiliana nasi kupitia number +255 772 281 879 +255 773 071 409 Zinjibartv Journalists cc: Zuhura Hussein cc: Swaleh Watamaama cc: Ramadhan Yussuf Camera Department & Editors Dr D.sam DOP Kahale Kifelety Is-hak Juma Video Zingine: Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA https://youtu.be/BZwzHiPq0-I https://youtu.be/_CuV15b4nGA
Ilikuwa ni mechi dume, Singida Big Stars wakitangulia kupitia kwa Medie Kagere dakika ya 63 kisha Ihefu kuchomoa dakika ya 72 ...