Content removal request!


MAGOLI YOTE - AZAM FC (2-0) IKIIHENYESHA MALINDI FC - MECHI YA KIRAFIKI 15/01/2021

TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa magoli mawili baada ya kuichapa Malindi FC katika mchezo wa kwanza wa kirafiki uliochezwa leo katika uwanja wa Mao Tse Tung, visiwani Zanzibar. Magoli mawili yote ya AZAM FC yalipatikana katika kipindi cha kwanza, ambapo Idd Seleman alifunga goli la kwanza katika dakika ya 17 ya mchezo, na goli la la pili likafungwa na Mudathir Mudathir dakika ya 45+2. AZAM FC itaendelea na mchezo wa pili wa kirafiki Jumamosi hii kwa kucheza na KMKM, na mchezo wa tatu utachezwa Jumatano ijayo dhidi ya kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ SC). #MechiYaKirafiki #AzamFC #MalindiSC #AzamMalindi Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz