Azam FC imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leop kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata bao kwa free-kick ya Never Tigere kabla ya Mazembe kusawazisha kupitia kwa Adam Baso. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz