MALINDI FC vs AZAM FC: Goli la ushindi kwa Azam
MALINDI FC vs AZAM FC: Goli la ushindi kwa Azam

MALINDI FC vs AZAM FC: Hili ndilo goli lililoipa ushindi #AzamFC katika mechi ya kirafiki kati yake na Malindi FC iliyochezwa leo katika uwanja wa Mao Tse Tung - Zanzibar. #MechiYaKirafiki #AzamFC #MalindiSC #AzamMalindi Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MALINDI FC vs AZAM FC: Goli la kwanza la Azam
MALINDI FC vs AZAM FC: Goli la kwanza la Azam

Idd Seleman alivyoitanguliza #AzamFc kwa goli murua dakika ya 17. Ni katika mechi ya kirafiki na Malindi FC. #MechiYaKirafiki #AzamFC #MalindiSC #AzamMalindi Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli na Mshikemshike katika Mechi ya Jana Kati ya  Tanzania Vs DR Congo (1-1)
Magoli na Mshikemshike katika Mechi ya Jana Kati ya Tanzania Vs DR Congo (1-1)

Mechi ya kirafiki Kati ya Taifa stars DHIDI ya DR Congo siku ya Jana ilitoka draw Kwa kufungana 1-1. Mechi iliyochezwa katika uwanja WA Mkapa



TAIFA STARS VS CONGO - SHANGWE za MASHABIKI HATARI!! Wamtaja NCHIMBI, CONGO Watunisha MISULI...
TAIFA STARS VS CONGO - SHANGWE za MASHABIKI HATARI!! Wamtaja NCHIMBI, CONGO Watunisha MISULI...

TAIFA STARS VS CONGO - SHANGWE za MASHABIKI HATARI!! Wamtaja NCHIMBI, CONGO Watunisha MISULI... AYOUB Lyanga nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amefunga bao liliweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo, uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Lyanga alifunga bao hilo dakika ya 57 kipindi cha pili baada ya DR Congo kutangulia kufunga bao la kwanza kipindi cha kwanza. Congo ilipachika bao dakika ya 19 kupitia kwa Fiston Mayela ambaye alipiga shuti kali akiwa nje ya 18 na mlinda mlango Juma Kaseja alikwama kuokoa baada ya kuteleza kabla ya kuokoa mpira uliozama wavuni. Pongezi kwa Ditram Nchimbi aliyetoa pasi ya bao iliykutana na Lyanga ambaye aliwanyanyua mashaki dakika ya 57 Uwanja wa Mkapa. Pia mkongwe Agrey Morris aliweza kutumia dakika 2 kwenye mchezo wa leo ikiwa ni mara yake ya mwisho kutumika ndani ya Stars baada ya kuomba kustaafu. Kocha Mkuu wa Stars, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wake wengi ni wapya jambo linalomfanya ajenge muunganiko mzuri wakati ujao. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



HIGHLIGHTS | Tanzania ilivyotoka sare (1-1) na DR Congo - Mechi ya kirafiki 12/01/2021
HIGHLIGHTS | Tanzania ilivyotoka sare (1-1) na DR Congo - Mechi ya kirafiki 12/01/2021

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Tanzania ikimenyana na DR Congo kwenye mtanange wa kirafiki wa kimataifa uliomalizika kwa sare ya 1-1 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Agrey Moris alivyoagwa Tanzania ikitoka sare dhidi ya DR Congo - 12/01/2021
Agrey Moris alivyoagwa Tanzania ikitoka sare dhidi ya DR Congo - 12/01/2021

Hivi ndivyo Beki Agrey Moris alivyoagwa katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote Yanga ikiikaanga Singida (0-3) Ntibazonkiza atuma salam - 15/12/2020
Magoli yote Yanga ikiikaanga Singida (0-3) Ntibazonkiza atuma salam - 15/12/2020

Striker mpya wa Yanga Saidi Ntibazonkiza, amerudi kambani mara mbili kwenye mechi ya kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Singida United, ambapo watoto wa Jangwani wameshinda bao 0-3. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Cleveland Cavaliers  #Best Football Defending Skills  #Franck Ribery  #Derrick Rose  #Kawhi Leonard  #Lionel Messi  #Golden State Warriors  #Counter Attack Goals Football  #Paul Pogba  #Anthony Davis  

Popular Users

#selenagomez  #J_No24  #_BAnderson30_  #britneyspears  #sportspickle  #HEELZiggler  #elonmusk  #cesc4official  #SportsCenter  #GNev2  #b_ryan9  #BMcCarthy32  #floydmayweather  #BillGates  #rihanna