MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.
MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.

Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.

YANGA HAWALAZI DAMU/WAIFUATA CR BELOUIZDAD USIKU WA MANANE/SKUDU,PACOME NI TABASAMU TUPU/GAMONDI...
YANGA HAWALAZI DAMU/WAIFUATA CR BELOUIZDAD USIKU WA MANANE/SKUDU,PACOME NI TABASAMU TUPU/GAMONDI...

Leo Novemba 21 Timu ya Yanga SC wameianza safari kuelekea Nchini Algeria kupiti Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kwende kuminyana na CR Belouizdad siku ya Novemba 24 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mpenja Tv tunakusogezea matukio yote kutoka hapa Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

TAZAMA SKUDU MAKUDUBELA ALIVYOINGIA KUCHEZA MECHI YAKE YA KWANZA YANGA YA KIMATAIFA
TAZAMA SKUDU MAKUDUBELA ALIVYOINGIA KUCHEZA MECHI YAKE YA KWANZA YANGA YA KIMATAIFA

TAZAMA SKUDU MAKUDUBELA ALIVYOINGIA KUCHEZA MECHI YAKE YA KWANZA YANGA YA KIMATAIFA

KIBU DENIS, MWAMNYETO WAPOKELEWA KIBABE AIRPORT/MASHABIKI WAJITOKEZA STARS WAKIWASILI NCHINI
KIBU DENIS, MWAMNYETO WAPOKELEWA KIBABE AIRPORT/MASHABIKI WAJITOKEZA STARS WAKIWASILI NCHINI

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ''Taifa Stars" hii leo tarehe 09 September 2023 kimewasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere kutokea nchini Algeria Stars wamerejea leo wakiwa na kumbukumbu bora katika mchezo wao dhidi ya Algeria kwa kuweza kutoa suluhu ya bila kufungana na kuiwezesha Stars kufuzu michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast

« Previous Next »

Popular Tags

#Kevin Durant  #Best Goals  #Manuel Neuer  #Franck Ribery  #Lionel Messi  #Sergio Aguero  #New York Knicks  #Goalkeeper Saves  #Best Goals Ever  #Russell Westbrook  

Popular Users

#realDonaldTrump  #UKCoachCalipari  #imVkohli  #oldhossradbourn  #cesc4official  #KylieJenner  #JasonDufner  #realmadrid  #strombone1  #RyanBabel  #ochocinco  #KDTrey5  #JayBilas  #MieshaTate  #KevinHart4real