Je Marekani inaweza kubadili adhabu ya kombe la dunia?
Je Marekani inaweza kubadili adhabu ya kombe la dunia?

Je, rais wa Marekani anaweza kubadili adhabu ya Kombe la Dunia? Hilo ndilo swali linalotikisa dunia ya soka. Baada ya mshambuliaji wa Marekani Folarin Balogun kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Bosnia alitakiwa kukosa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ubelgiji. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @naste6295 na taarifa zaidi - - #bbcswahili #kandanda #kombeladunia2026 #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Kwanini Afrika iliishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini?
Kwanini Afrika iliishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini?

Kwanini Afrika iliishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Dunia? Baadhi ya mashabiki barani Afrika waliamua kuishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2026 kama njia ya kupinga chuki na mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya wageni. Je, michezo inapaswa kutenganishwa na siasa na migogoro ya kijamii au haya ndiyo matokeo ya kile kinachoendelea Kusini? #bbcswahili #mexico #afrikakusini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!
EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!

Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.

Uchambuzi mechi ya Simba Vs Horoya, Yanga Vs US Monastir
Uchambuzi mechi ya Simba Vs Horoya, Yanga Vs US Monastir

Wasikie Wachambuzi mahiri wa kandanda ndani ya Sports AM ya #AzamSports1HD, Ramadhani Mbwaduke, Clarence Kunambi ...

KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata mechi ya Mtibwa Sugar Vs Simba,Yanga Vs Geita Gold
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata mechi ya Mtibwa Sugar Vs Simba,Yanga Vs Geita Gold

Msikie Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi mbalimbali ya Waamuzi kwenye ...

KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata mechi ya Simba SC Vs Azam FC
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata mechi ya Simba SC Vs Azam FC

Tazama kipindi cha Kipyenga cha Mwisho na Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa ...

KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi akisawazisha utata maamuzi Ihefu Vs Singida Big Stars
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi akisawazisha utata maamuzi Ihefu Vs Singida Big Stars

Msikie Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa baadhi ya maamuzi kwenye mechi ya NBC ...

KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata wa mechi ya Yanga Vs Ihefu na Simba Vs Mbeya City
KIPYENGA CHA MWISHO | Osman Kazi asawazisha utata wa mechi ya Yanga Vs Ihefu na Simba Vs Mbeya City

Huyu hapa Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda Nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi ya Waamuzi, Wachezaji na Mabenchi ya Ufundi kwenye mechi ya Yanga SC Vs Ihefu, Simba SC Vs Mbeya City na Geita Gold Vs Dodoma Jiji. KIPYENGA CHA MWISHO ni kila Alhamis saa 3:30 Usiku kupitia #AzamSports1HD

Next »

Popular Tags

#Anthony Davis  #Best Goals  #Best Football Defending Skills  #Paul Pogba  #Counter Attack Goals Football  #LeBron James  #Stephen Curry  #David Silva  #Stephen Curry  #Boston Celtics  

Popular Users

#RobGronkowski  #IAmJericho  #kobebryant  #MariaSharapova  #JLo  #HEELZiggler  #rioferdy5  #steveaustinBSR  #KingJames  #oldhossradbourn  #britneyspears  #lindseyvonn  #LAKings  #dougferguson405  #espn