Simba SC imezidi kujiweka vizuri kutetea taji la VPL kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopigwa u29/02/2020 kwenye Uwanja la Taifa, Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Francis Kahata, Hassan Dilunga na Meddie Kagere katika dakika za 22, 39 na 89 huku Bigirimana Blaise na Lucas Kikoti wakiifungia Namungo katika dakika za 35 ya 72. #SimbaSC #SimbaNamungo #Namungo
KAHATA Apeperusha Milioni Mbili za Mwadui Imeelezwa kuwa Kichapo cha Mabao 2-1 walichopokea Mwadui FC judoka kea Simba Kimepeperusha Million mobile zilizokuwa mezani kwa ajili ya hamasa kwa wachezaji wa Mwadui FC. Mwadui Ilishindwa kufurukuta juzi mbele ya Mnyama Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa hatua ya 32 bora ya comb la Shirikisho la Azam Sports. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukioya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele ya Mwadui FC, Uwanja wa Taifa wakati Simba ikishinda mabao 2-1. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa kisasi kwa Simba baada ya kuchapwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara na bao lilifungwa na Mdamu ambaye leo amefunga pia bao kwa Mwadui. Mwadui FC ilianza kufunga bao la kwanza dakika ya 34 kupitia kwa Gerald Mdamu dakika ya 34 akimalizia pasi ya Ludovick. Bao pekee la kuweka mzani kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama akiwa nje ya 18 dakika ya 45+2. Kipindi cha pili Simba walifanya mashambulizi ya kutafuta bao la ushindi sawa na Mwadui na dakika ya 84 ilijiandikia bao la pili la ushindi kupitia kwa Francis Kahata aliyemalizia pasi ya Shomari Kapombe kwa kichwa na kuwanyanyua mashabiki wa Simba. Simba inatinga hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho na Mwadui FC inafungasha virago jumla.
SIMBA YATAJA SABABU YA KUIFUNGA MWADUI FC LEO 2 - 1 Kahata Na Chama|Mwadui Wakubali
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamefanikiwa kutinga raundi ya tano (16 bora) katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuifunga Mwadui FC mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa leo (25/01/2020) kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mwadui ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Gerald Mathias Mdamu dakika ya 35 kabla ya Clatous Chama kusawazisha dakika ya 45+2 na Francis Kahata kupiga la pili dakika ya 85.
#mapinduzicup #kikosichasimba KIKOSI CHA FAINALI MTIBWA SUGAR DHIDI YA SIMBA SC LEO ,Wawa,Bocco,kahata Nje
Kikosi cha Simba SC kimeongeza wigo wa pointi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ndanda FC. Magoli ya Francis Kahata na Deo Kanda kwenye kila kipindi ndiyo yaliyoipa Simba SC ushindi huo huku nahodha wake John Bocco akirejea baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Simba SC itakutana na wapinzani wake wa jadi Yanga SC kwenye dimba la Taifa Januari 4 kwenye mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars