Content removal request!


Magoli yote Simba SC ikiirarua Namungo FC 3-2

Simba SC imezidi kujiweka vizuri kutetea taji la VPL kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliopigwa u29/02/2020 kwenye Uwanja la Taifa, Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Francis Kahata, Hassan Dilunga na Meddie Kagere katika dakika za 22, 39 na 89 huku Bigirimana Blaise na Lucas Kikoti wakiifungia Namungo katika dakika za 35 ya 72. #SimbaSC #SimbaNamungo #Namungo