TAZAMA BALAA LA PETER BANDA MAZOEZINI/JWANENG GALAXY WATAJUTA AISEE.
TAZAMA BALAA LA PETER BANDA MAZOEZINI/JWANENG GALAXY WATAJUTA AISEE.

Tazama video hii ya Mchezaji wa Simba Sport Club na timu ya Taifa Ya Malawi Peter Banda akiwa mazoezini. . #mpenjatv #simbasc #peterbanda

KOCHA WA SIMBA MWENYE SHUGHULI YAKE LIGI YA MABINGWA AFRIKA AFUNGUKA KUELEKEA KUIVAA JWANENG GALAXY
KOCHA WA SIMBA MWENYE SHUGHULI YAKE LIGI YA MABINGWA AFRIKA AFUNGUKA KUELEKEA KUIVAA JWANENG GALAXY

Kocha Msaidizi wa Simba SC ambaye anaiongoza timu hiyo katika michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika, Thierry Hitimana, amezungumzia maandalizi yao kuelekea kuivaa Jwaneng Galaxy ya Botswana Jumapili Oktoba 24, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya marudiano ya ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inahitaji sare au ushindi ili kutinga hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini waliopata Oktoba 17, 2021 uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #ThierryHitimana #MpenjaTV

🔴LIVE: Simba walivyoshuka kistaa kuanza mazoezi ya kumuangamiza Jwaneng Galaxy FC
🔴LIVE: Simba walivyoshuka kistaa kuanza mazoezi ya kumuangamiza Jwaneng Galaxy FC

Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo

MHAMASISHAJI WA SIMBA DC MWIJAKU AAHIDI KUVUA NGUO MPAKA MWENGE WASIPOWAPIGA JWANENG GALAXY/MSIKIE
MHAMASISHAJI WA SIMBA DC MWIJAKU AAHIDI KUVUA NGUO MPAKA MWENGE WASIPOWAPIGA JWANENG GALAXY/MSIKIE

Leo Oktoba 21 2021, Mhamasishaji Mpya wa Klabu ya Simba, DC wa Insta Mwijaku, amezungumza na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Jwaneng Galaxy utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Fungua video hii kupata habari kamili. . #simbasc #mwijaku #mpenjatv

SIMBA Waja na KAULI MBIU Hii Kuelekea MECHI Dhidi ya Galaxy 'IT IS NOT OVER Kazi Iendelee'
SIMBA Waja na KAULI MBIU Hii Kuelekea MECHI Dhidi ya Galaxy 'IT IS NOT OVER Kazi Iendelee'

Simba wanatarajia kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Dhidi ya Jwaneng galaxy ya Nchini Botswana Jumapili ya Oktoba 24 katika dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam huku wahamasishaji wake wakijitamba kuelekea mchezo huo..

DADEKI! SIMBA WAJA KIVINGINE KUWAANGAMIZA JWANENG GALAXY/KAULI MBIU ‘IT IS NOT OVER KAZI IENDELEE’
DADEKI! SIMBA WAJA KIVINGINE KUWAANGAMIZA JWANENG GALAXY/KAULI MBIU ‘IT IS NOT OVER KAZI IENDELEE’

Klabu ya Simba SC kupitia kwa Ofisa Habari wake Msaidizi, Ally Shatry maarufu Chico imetangaza kaulimbiu kuelekea mchezo wake wa marudiano wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba inahitaji Sare yoyote au ushindi ili kutinga hatua ya makundi kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini Oktoba 17, 2021, uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #CAFChampionsLeague #AllyShatry #MpenjaTV

« Previous Next »

Popular Tags

#Paul Pogba  #Best Champions League  #Russell Westbrook  #Kevin Durant  #Best Football Defending Skills  #Kobe Bryant  #Golden State Warriors  #Kyrie Irving  #Goalkeeper Saves  #Anthony Davis  

Popular Users

#ddlovato  #sydneyleroux  #PMOIndia  #BrunoMars  #ArianaGrande  #hunterpence  #DwyaneWade  #DanicaPatrick  #jimmyfallon  #MariaSharapova  #nyt4thdownbot  #UKCoachCalipari  #wizkhalifa  #espn