'Piga nikupige' ya Mbao FC na Ihefu ilivyoisha kwa magoli (4-2)
'Piga nikupige' ya Mbao FC na Ihefu ilivyoisha kwa magoli (4-2)

Haya ni magoli sita yaliyojitokeza katika mchezo wa mtoano kati ya Mbao dhidi ya Ihefu uliopigwa jijini Mwanza na kushuhudiwa Mbao wakishuka daraja hadi FDL (daraja la kwanza) huku Ihefu wakipanda daraja hadi #LigiKuuTanzaniaBara msimu ujao baada ya faida ya goli la ugenini kuwa neema kwa upande wao ikiwa walishuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa magoli 2-0 katika mchezo wa kwanza na hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa mabao (4-4) #AzamSports #MbaoFC #IhefuFC #MbaoIhefu #LigiDarajaLaKwanza Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mbao FC ilivyoaga VPL kwa uwiano wa magoli (4-2, Agg 4-4) dhidi ya Ihefu - Highlights
Mbao FC ilivyoaga VPL kwa uwiano wa magoli (4-2, Agg 4-4) dhidi ya Ihefu - Highlights

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika mchezo wa mkondo wa pili kati ya #MbaoFC ya jijini Mwanza dhidi ya #IhefuFC ya jijini Mbeya. Mbao FC imeshuka daraja na sasa itashiriki #LigiDarajaLaKwanza msimu ujao wa 2020/2021 #MbaoIhefu #VodacomPremierLeague #VPLPlayoffs #mtoano Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ihefu FC ilivyotanguliza mguu mmoja VPL kwa (2-0) dhidi ya Mbao FC - Highlights
Ihefu FC ilivyotanguliza mguu mmoja VPL kwa (2-0) dhidi ya Mbao FC - Highlights

Hivi ndivyo wana-Mbeya Ihefu FC walivyokamilisha hatua ya kwanza ya safari yao kuelekea #VodacomPremierLeague baada ya kuichapa Mbao FC wakiitumia vema uwanja wao wa nyumbani. Mchezo wa pili utapigwa Agosti mosi jijini Mwanza wakati Mbao ikiwa nyuma kwa magoli mawili watapaswa kurudisha ili wafufue matumaini ya safari ya kurudi #LigiKuuTanzaniaBara msimu ujao. #IhefuFC #MbaoFC #IhefuMbao #VPLPlayoffs #LigiDarajaLaKwanza #VPL Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ihefu ilivyoanza vyema kampeni ya kupanda ligi kuu VPL kwa kuichapa (2-0) Mbao FC
Ihefu ilivyoanza vyema kampeni ya kupanda ligi kuu VPL kwa kuichapa (2-0) Mbao FC

Tazama magoli yote yaliyopatikana katika mchezo wa mkondo wa kwanza mtoano kati ya Ihefu dhidi ya Mbao FC uliochezwa katika dimba la Highland Estates, Mbarali mkoani Mbeya. #IhefuFC #VPLPlayoffs #TPL #MbaoFC #IhefuMbao Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous


Popular Tags

#Boston Celtics  #Mesut Ozil  #Best Ball Controls  #Anthony Davis  #Allen Iverson  #Best Ball Controls  #Thomas Muller  #Miami Heat  #David Silva  #Football Skills  

Popular Users

#ochocinco  #narendramodi  #dougferguson405  #NASA  #JoelEmbiid  #si_vault  #JasonDufner  #StephenCurry30  #billbarnwell  #JJWatt  #RSherman_25  #jimmyfallon  #oldhossradbourn  #serenawilliams