IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE
IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE

Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc



KIMEUMANA YANGA YAMTIMUA METACHA USIKU ?/APELEKWA KWENYE KAMATI
KIMEUMANA YANGA YAMTIMUA METACHA USIKU ?/APELEKWA KWENYE KAMATI

Yanga SC, yamsimamisha kazi mlindo mlango wake, Metscha Mnata kufuatia kufanya vitendo visivyo kwa kiungwana. #Metachamnata #Yangasc #Feitoto



YANGA YAIINGIZA MKENGE SIMBA SC/ KUFANYA USAJILI WA KUTISHA!/ KIGOGO MZITO ATOA SIRI ZA MAANGAMIZI
YANGA YAIINGIZA MKENGE SIMBA SC/ KUFANYA USAJILI WA KUTISHA!/ KIGOGO MZITO ATOA SIRI ZA MAANGAMIZI

WASHAMBULIAJI WATANO KUTOKA KATIKA NCHI ZA DR CONGO, IVERY COAST NA ZAMBIA WANATAJWA KUWA MIONGONI MWA WATAKAOSAJILIWA MWISHONI MWA MSIMU HUU, ILI KUBORESHA KIKOSI CHA YOUNG AFRICANS. MWENYEKITI WA KAMATI YA USAJILI YA YOUNG AFRICANS AMEFUNGUKA KUHUSU UKWELI WA SUALA HILO HUKU AKIWATAKA MASHABIKI NA WANACHAMA KUWA WASTAHAMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #simbasc #usajilibongo



KAIZER CHIEFS WAIGWAYA SIMBA/ "MCHECHETO"/ MAJERUHI, RATIBA INAWABANA/ GOMEZ, MANARA WATAMBA
KAIZER CHIEFS WAIGWAYA SIMBA/ "MCHECHETO"/ MAJERUHI, RATIBA INAWABANA/ GOMEZ, MANARA WATAMBA

MSAFARA wa Simba wa watu wasiopungua 40 ukiwa Johannesburg, Afrika Kusini tayari kwa maandalizi ya mechi ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaochezwa katika Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo jijini humo, Jumamosi Mei 15. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #kaizerchiefs #simbasc #cafcl



SIMBA WATINGA CAIRO KIBABE/ SHUGHULI ZASIMAMA/ CHAMA MIQUISSONE WATAJWA KILA KONA
SIMBA WATINGA CAIRO KIBABE/ SHUGHULI ZASIMAMA/ CHAMA MIQUISSONE WATAJWA KILA KONA

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #caf #taarifabilamipaka



CARLINHO AMFUNIKA FISTON YANGA/SIMBA NA CHIKWENDE WAO KAZI WANAYO MWAKA HUU
CARLINHO AMFUNIKA FISTON YANGA/SIMBA NA CHIKWENDE WAO KAZI WANAYO MWAKA HUU

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Carloscarlinho #Fistonabdulrazck #Dicksonjob



METACHA MNATA: KOCHA KAZE ALINIAMBIA PENATI/ITAKAPOPIGWA/SENZO AUNGURUMA KAMA 'SIMBA'
METACHA MNATA: KOCHA KAZE ALINIAMBIA PENATI/ITAKAPOPIGWA/SENZO AUNGURUMA KAMA 'SIMBA'

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Yangasc #Namungofc #Metachamnata



Simba yaipania Mbao, Usein Bolt kusani Man United?
Simba yaipania Mbao, Usein Bolt kusani Man United?

Subscribe kutazama video nyingine nzuri kwa kubofya… https://www.youtube.com/channel/UCCJtvHe44RGZAVVhI9q7m1Q FACEBOOK: https://www.facebook.com/Dar24Tz/... TWITTER: https://twitter.com/Dar24News Tembelea https://http://dar24.com/, WEBSITE: http://dar24.com FACEBOOK: https://www.facebook.com/Dar24Tz/ TWITTER: https://twitter.com/Dar24News INSTAGRAM: https://www.instagram.com/dar24news/https://www.instagram.com/dar24news/ ... FACEBOOK: https://www.facebook.com/Dar24Tz/... TWITTER: https://twitter.com/Dar24News Tembelea https://http://dar24.com/, Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… https://www.youtube.com/channel/UCCJtvHe44RGZAVVhI9q7m1Q WEBSITE: http://dar24.com FACEBOOK: https://www.facebook.com/Dar24Tz/ TWITTER: https://twitter.com/Dar24News INSTAGRAM: https://www.instagram.com/dar24news/https://www.instagram.com/dar24news/ -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media




« Previous Next »


Popular Tags

#Miami Heat  #Gareth Bale  #Russell Westbrook  #Shot Goals  #Kobe Bryant  #Ronaldinho  #Neymar  #Mesut Ozil  #Best Goals Ever  #Anthony Davis  

Popular Users

#jtimberlake  #jimmyfallon  #katzm  #SimplyAJ10  #MikePereira  #obj  #OleksiakPenny  #_BAnderson30_  #sportspickle  #neymarjr  #serenawilliams  #RobGronkowski  #katyperry