Content removal request!


KAIZER CHIEFS WAIGWAYA SIMBA/ "MCHECHETO"/ MAJERUHI, RATIBA INAWABANA/ GOMEZ, MANARA WATAMBA

MSAFARA wa Simba wa watu wasiopungua 40 ukiwa Johannesburg, Afrika Kusini tayari kwa maandalizi ya mechi ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaochezwa katika Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo jijini humo, Jumamosi Mei 15. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #kaizerchiefs #simbasc #cafcl