ALASSANE KANTE NI MARA 3 YA BALLA CONTE/AMEWEKA REKODI TATU ZA KUTISHA NCHINI TUNISIA/MALI YA SIMBA
ALASSANE KANTE NI MARA 3 YA BALLA CONTE/AMEWEKA REKODI TATU ZA KUTISHA NCHINI TUNISIA/MALI YA SIMBA

Simba Pro ni Channel maalum kwaajili ya mashabiki wa Simba ambayo inajihusisha na kuongelea klabu ya Simba kiundani, imebobea kwenye maswala ya usajili pamoja na uchambuzi wa michezo ya Simba Pia Simba Pro inafahamika ndani na nje ya nchi kuanzia Tanzania Kenya Uganda Burundi Congo United States Zambia China na Germany huko kote kuna watazamaji wanafatilia Channel hii Waendesha vipindi ni Heavyweight Dulla ambae anapatikana Instagram kama Heavyweight_dullah pamoja na Innocent Moshy ambae anapatikana Instagram na Tiktok kama Realmoshyy Simba Pro ndio channel ya mashbaiki wa simba inayofanya vizuri zaidi kuliko Channel yoyote ya mashabiki wa Simba Tanzania



LIVE; BALLA CONTE BALAA JIPYA YANGA/ TSHABALALA AWAPA THANK YOU SIMBA ATAJWA KUJIUNGA YANGA/ CHAN
LIVE; BALLA CONTE BALAA JIPYA YANGA/ TSHABALALA AWAPA THANK YOU SIMBA ATAJWA KUJIUNGA YANGA/ CHAN

LIVE; BALLA CONTE BALAA JIPYA YANGA SCV/ TSHABALALA AWAPA THANK YOU SIMBA SC ATAJWA KUJIUNGA YANGA SC/ CHAN 2024 IMENOGA, HAMASA ZA TAIFA STARS ZINAANZA KESHO.



MZEE SAIDI: ALIA NA THANK YOU YA MAVAMBO/ WAGALATIA WALIJUAJE SIMBA TUNAMTAKA CONTE? WANA MTU WAO
MZEE SAIDI: ALIA NA THANK YOU YA MAVAMBO/ WAGALATIA WALIJUAJE SIMBA TUNAMTAKA CONTE? WANA MTU WAO

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes



‘’UJIO WA BALLA CONTE NI TOFALI  LA KWANZA LA UBUNGWA YANGA’’
β€˜β€™UJIO WA BALLA CONTE NI TOFALI LA KWANZA LA UBUNGWA YANGA’’

Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2025 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm



Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte
Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte

β€œβ€¦tuliweka kiwango kizuri cha fedha kumshawishi mchezaji na klkabu yake” Nneno la Ally Kamwe kuhusu usajili wa kiungo Moussa Balla Conte ambaye leo ametua rasmi Jangwani kwa mkataba wa miaka mitatu… Kamwe ameeleza jinsi ilivyokuwa ngumu kumpata na jinsi walivyoweza kumshawishi yeye na klabu yake licha ya kuwa na ofa nyingi….. Kuhusu hatma ya Khalid Aucho, Kamwe amesema majibu yatatoka Julai 20 baada ya kupokea ripoti ya CEO wa klabu hiyo… Mwisho, Ally Kamwe anatoa ujumbe kwa walioumizwa na usajili huo akiomba kusajiliwa na timu inayohitaji mchezaji mwenye jina la Conte…. #YangaSC #Usajili #BallaConte




« Previous Next »


Popular Tags

#Stephen Curry  #Best Goals  #Goal Celebrations  #Chicago Bulls  #Mesut Ozil  #Neymar  #Cleveland Cavaliers  #James Harden  #Paul George  #Best Football Defending Skills  

Popular Users

#DwyaneWade  #normmacdonald  #MikePereira  #imVkohli  #themichaelowen  #HEELZiggler  #instagram  #kobebryant  #RobbieSavage8  #JLo  #Buccigross  #JoelEmbiid  #AdamSchefter  #UKCoachCalipari  #AntDavis23