Simba Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake, ikiwapiga watani zake Yanga Princess kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika bila goli katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Hizi hapa ni penati zote kumi zilzoamua mchezo.... lakini kutazama highlights za dakika 90 za mchezo ingia hapa https://www.youtube.com/watch?v=m0VqtULsaTA
TAZAMA AZIZI KI ALIVYOSHANGILIA BAO LA YANGA PRINCESS, MASHABIKI WAMSHANGILIA AZIZI KI KWA MKAPA
Derby 🔥🔥 Yanga Princess vs Simba Queens Leo Januari 08/2022 kimewaka Dimba la Mkapa YES🙌 ni Derby yakina Dada Yanga Princess Vs Simba Queens imemalizika hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba Queens kumchapa Yanga Princess Magoli 4-1... Mpenja Tv tupo hapa kukuletea Updates zote na matukio yote ambayo yatajiri katika mchezo huu wa ligi kuu ya wanawake ambayo inafahamika kama Serengeti Lite Women Premier League (SLWPL) Baki na sisi🔥🔥🔥 #YangaprincessVsSimbaQueens #YangaPrincess #SimbaQueens #SLWPL #MpenjaTv
Tazama magoli yote wakati Yanga Princess ikishushiwa kichapo cha mabao 1-4 kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania
🔴#LIVE: YANGA PRINCESS vs SIMBA QUEENS ( 1 - 4 ) - LIGI KUU YA WANAWAKE, UWANJA WA MKAPA ILE 'Derby' ya Kariakoo ya wanawake iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ndio imechezwa leo Januari 08, kati ya Yanga Princess vs Simba Queens, katika Dimba la Mkapa jijini Dar. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
YANGA VS SIMBA: Timu ya Wanawake ya Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Princess katika mchezo wa ligi ya wanawake uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Mwanahamisi Omary, Opah Clement na Joell Bukuru. Ushindi huu umeifanya Simba ikae kileleni ikifikisha pointi 39 huku Yanga wakibaki na pointi zao 38 katika nafasi ya pili. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔴#LIVE: YANGA PRINCESS vs SIMBA QUEENS ( 0 - 3 ) - DERBY ya WANAWAKE, LIGI KUU, UWANJA wa UHURU.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars