Derby π₯π₯ Yanga Princess vs Simba Queens Leo Januari 08/2022 kimewaka Dimba la Mkapa YESπ ni Derby yakina Dada Yanga Princess Vs Simba Queens imemalizika hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba Queens kumchapa Yanga Princess Magoli 4-1... Mpenja Tv tupo hapa kukuletea Updates zote na matukio yote ambayo yatajiri katika mchezo huu wa ligi kuu ya wanawake ambayo inafahamika kama Serengeti Lite Women Premier League (SLWPL) Baki na sisiπ₯π₯π₯ #YangaprincessVsSimbaQueens #YangaPrincess #SimbaQueens #SLWPL #MpenjaTv
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.
Leo May 08,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar