Content removal request!


Mikwaju ya Penati | Simba Queens 0-0 Yanga Princess (Pen: 5-4) | Ngao ya Jamii (W) 09/12/2023

Simba Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake, ikiwapiga watani zake Yanga Princess kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika bila goli katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Hizi hapa ni penati zote kumi zilzoamua mchezo.... lakini kutazama highlights za dakika 90 za mchezo ingia hapa https://www.youtube.com/watch?v=m0VqtULsaTA