LIVE: MBAO (4-2, agg 4-4 ) IHEFU - UFM 107.3 DAR ES SALAAM - VPL PlayOffs; 01/08/2020
LIVE: MBAO (4-2, agg 4-4 ) IHEFU - UFM 107.3 DAR ES SALAAM - VPL PlayOffs; 01/08/2020

Huu ni mchezo wa mkondo wa pili wa mtoano kati ya Mbao FC ya jijini Mwanza dhidi ya Ihefu SC kutoka jijini Mbeya. Mchezo huu ulioamua Ihefu kupanda daraja huku Mbao FC wakishuka hadi Ligi daraja la kwanza. Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii; http://instagram.com/ufmradiotz http://twitter.com/ufmradiotz http://facebook.com/ufmradiotz #FDLUpdates #VPLUpdates #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #LigiKuuDarajaLaKwanza  Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Sare ya (2-2) na Tanzania Prisons ilivyoinyima Azam FC nafasi ya pili VPL 2019/2020 - Highlights
Sare ya (2-2) na Tanzania Prisons ilivyoinyima Azam FC nafasi ya pili VPL 2019/2020 - Highlights

Mchezo wa mwisho wa kumaliza msimu wa VPL 2019/2020 kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Azam FC ulivyomalizika bila mbabe huku ikishuhudiwa Azam wakipoteza nafasi muhimu ya kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Yanga yamaliza ligi kwa kuipiga Lipuli 0-1 na kuishusha daraja
Yanga yamaliza ligi kwa kuipiga Lipuli 0-1 na kuishusha daraja

Hivi ndivyo Yanga SC ilivyomaliza msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 kwa kuiadhibu Lipuli FC ikiwa nyumbani kwa bao moja bila na kupigilia msumari wa klabu hiyo kushuka daraja. Goli la Yanga SC limefungwa na David Molinga dakika ya 39 ya mchezo. #YangaSC #LipuliFC #YangaLipuli #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VodacomPremierLeague #LipuliYanga Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mbao FC ilivyojinasua (2-0) dhidi ya Ndanda FC
Mbao FC ilivyojinasua (2-0) dhidi ya Ndanda FC

Shuhudia magoli yote ya Mbao FC dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa mwisho wa VPL msimu wa 2019/2020. #NdandaFC #MbaoFC #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VodacomPremierLeague azama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Shuhudia magoli yote kati ya Tanzania Prisons (2-2) Azam FC
Shuhudia magoli yote kati ya Tanzania Prisons (2-2) Azam FC

Haya ndiyo magoli manne yaliyopatikana katika mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Azam FC baada ya kushuhudia timu hizo zikienda suluhu ya magoli 2-2. #VPLUpdates #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #AzamFC #TanzaniaPrisons #PrisonsAzam Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kocha Polisi Tanzania akiri kuzidiwa na Ndanda licha ya ushindi wa 1-0. Tazama goli la penati
Kocha Polisi Tanzania akiri kuzidiwa na Ndanda licha ya ushindi wa 1-0. Tazama goli la penati

Goli la penati kutoka kwa Marcel Kaheza lililowapa Polisi Tanzania pointi tatu dhidi Ndanda SC kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi. Kocha wa Polisi Malale Hamsini akiri kuzidiwa licha ya ushindi. FT: Polisi Tanzania 1-0 Ndanda SC #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #PolisiTanzania #NdandaSC Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



🔥HASIRA ZA SIMBA KUPIGWA NA YANGA ZAHAMISHIWA SINGIDA UNITED|YAICHAPA 8-0
🔥HASIRA ZA SIMBA KUPIGWA NA YANGA ZAHAMISHIWA SINGIDA UNITED|YAICHAPA 8-0

🔥HASIRA ZA SIMBA KUPIGWA NA YANGA ZAHAMISHIWA SINGIDA UNITED, YAICHAPA 8-0 KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 mble ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. #AzamSportsHD #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SingidaUnited #SimbaSingida



Kipigo kizito: Simba 'yaiua' Singida United 8-0, Kagere afunga manne (Magoli yote)
Kipigo kizito: Simba 'yaiua' Singida United 8-0, Kagere afunga manne (Magoli yote)

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC wamewaangushia kichapo cha mabao 8-0 Singida United United katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Medie Kagere amepiga mabao manne ikiwa ni hat-trick yake ya pili msimu huu, Deo Kanda amefunga mawili, John Bocco moja na Sharaf Shiboub amefunga goli moja. Haya hapa magoli yote. #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SingidaUnited #SimbaSingida Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Chicago Bulls  #LeBron James  #Chris Paul  #Counter Attack Goals Football  #Shot Goals  #Russell Westbrook  #Paul Pogba  #Allen Iverson  #Michael Jordan  #Shaquille O'Neal  

Popular Users

#SportsCenter  #SrBachchan  #THNRyanKennedy  #iamsrk  #IAmJericho  #SHAQ  #rioferdy5  #HEELZiggler  #SteveNash  #incarceratedbob  #ddlovato  #geniebouchard  #NiallOfficial