Content removal request!


Kipigo kizito: Simba 'yaiua' Singida United 8-0, Kagere afunga manne (Magoli yote)

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC wamewaangushia kichapo cha mabao 8-0 Singida United United katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Medie Kagere amepiga mabao manne ikiwa ni hat-trick yake ya pili msimu huu, Deo Kanda amefunga mawili, John Bocco moja na Sharaf Shiboub amefunga goli moja. Haya hapa magoli yote. #LigiKuuTanzaniaBara #VodacomPremierLeague #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SingidaUnited #SimbaSingida Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz