Content removal request!


VITASA | Karim Mandonga alivyompiga Said Mbelwa 'TKO' | Punch Of Fire 25/11/2022

MO GREEN VITASA NIGHT: Tazama jinsi ngumi #ndoige kutoka kwa Karim Mandonga ilivyofanya kazi ikimpiga Said Mbelwa TKO raundi katika pambano la raundi sita. Ni #MoGreenVitasaNight #PuchOfFire kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro Novemba 25/11/2022 Hili lilikuwa ni pambano la pili la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Twaha Kiduku dhidi ya Victor Hugo Exner kutoka Argentina.