KWA HASIRA Kocha MGUNDA Afunguka OUATARA Kukaa Benchi "Sijawahi Kuwabagua Wachezaji Wangu"
KWA HASIRA Kocha MGUNDA Afunguka OUATARA Kukaa Benchi "Sijawahi Kuwabagua Wachezaji Wangu"

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI
MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI

MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mashabiki wa klabu hiyo walishhindwa kuzuia hisia zao na kuamua kusukuma gari lililobeba wachezaji wa klabu hiyo hadi nje ya eneo la uwanja. #SIMBAVSNKANA #MKUDE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



GOLI LA JONAS MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1
GOLI LA JONAS MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1

GOLI LA MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1 Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #MKUDE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



KOCHA wa NKANA Ataja Goli Simba walilosema OFFSIDE
KOCHA wa NKANA Ataja Goli Simba walilosema OFFSIDE

KOCHA wa NKANA Ataja Goli la SIMBA Ililokuwa OFFSIDE Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



BAADA ya Goli la NKANA Mashabiki wa Yanga Walichokifanya
BAADA ya Goli la NKANA Mashabiki wa Yanga Walichokifanya

BAADA ya Goli la NKANA Mashabiki wa Yanga Walichokifanya Baada ya Goli la Nkana mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia kwa nguvu zote na kuwaacha watanzania na mashabiki wa simba midomo wazi kutoakana na kuwashangilia wageni kutoka Zambia kutokana na simba ni watani zao. Simba na Nkana inakutana kwa mara ya pili katika mchezo wa marudiano ambao unafanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati mechi ya kwanza ilifanyika katika uwanja wa Kitwe nchini Zambia. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



SIMBA VS NKANA Vikosi vya Maangamizi Vilivyosalimiana
SIMBA VS NKANA Vikosi vya Maangamizi Vilivyosalimiana

SIMBA VS NKANA Vikosi vya Maangamizi Vilivyosalimiana VIKOSI vya Simba na Nkana walivyosalimiana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mechi ya marudiano Ligi ya Mabinhwa Afrika inayofanyika katika uwanja wa Taifa jini Dar es Salaam. Waziri wa Nishati amkuwa mgeni rasmi katika mchezo huo. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



SIMBA WAMESEMA "KUFA NA KUPONA" LAZMA WAWACHAPE NKANA MECHI YA MARUDIANO
SIMBA WAMESEMA "KUFA NA KUPONA" LAZMA WAWACHAPE NKANA MECHI YA MARUDIANO

#simbavsnkana Kuelekea mchezo wa jumamosi wa Simba dhidi ya Nkana wamesema lazma wawafunge nkana kuvuka hatua ya makundi league ya mabingwa Africa





Popular Tags

#LeBron James  #Best Ball Controls  #Football Skills  #Cleveland Cavaliers  #Manuel Neuer  #Shot Goals  #Anthony Davis  #Lionel Messi  #Michael Jordan  #Russell Westbrook  

Popular Users

#JohnCena  #twitter  #themichaelowen  #CP3  #realmadrid  #JayBilas  #nyt4thdownbot  #kevinlove  #floydmayweather  #si_vault  #BBCBreaking  #rioferdy5  #jadande  #narendramodi