Content removal request!


BAADA ya Goli la NKANA Mashabiki wa Yanga Walichokifanya

BAADA ya Goli la NKANA Mashabiki wa Yanga Walichokifanya Baada ya Goli la Nkana mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia kwa nguvu zote na kuwaacha watanzania na mashabiki wa simba midomo wazi kutoakana na kuwashangilia wageni kutoka Zambia kutokana na simba ni watani zao. Simba na Nkana inakutana kwa mara ya pili katika mchezo wa marudiano ambao unafanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati mechi ya kwanza ilifanyika katika uwanja wa Kitwe nchini Zambia. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.