Goli pekee la njia ya penati kutoka wa Saidi Ntibazonkiza limeipa Simba pointi tatu muhimu, kwa kuichapa Mashujaa FC bao 1-0 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Tazama highlights.....
JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII ๐ https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?utm_source=Youtube_pmtv&utm_medium=Video&utm_campaign=registrations NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA IST NA NISSAN DUALIS TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU INSTAGRAM @pmtvtz TWITTER @Pmtvtz TIKTOK @Pmtvtz
Tazama matukio yote yaliyojiri mchezo wa nusu fainali ya mapinduzi Cup kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC. Simba imetinga fainali kwa kupata penati 3-2 Waliopiga penati ni Medie Kagere, Hamad Waziri, Duke Abuya, Gadiel Michael na Deus Kaseke kwa upande wa Singida FG. Shomari Kapombe, Luis Miquissone, Saidi Ntibazonkiza, , Israel Mwenda na Moses Phiri kwa upande wa Simba SC.
#mapinduzicup #africanfootballleague #inkmedia #nbcpremierleague #uchambuzi
Hapa ilikuwa ni zamu ya Mtibwa Sugar kula kichpo, ikipigwa 4-1 kutoka kwa Yanga, mechi ya Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague ikipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Stephane Aziz Ki ammefunga mawili... moja dakika ya 45 kwa penati na lingine dakika ya 65 huku mengine yakitoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 76 na Mahlatse Makudubela 'Skudu' dakika ya 83.
Simba SC imeitandika Kagera Sugar mabao 3-0 kwenye Dimba la Uhuru dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya NBC.... Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Saidi Ntibazonkiza kwa penati dakika ya 45, Sadio Kanoute dakika ya 75 na John Bocco dakika ya 90.
SUBSCRIBE NOW: โถhttps://t.ly/uwYW7 ๐ Site: https://simbasc.co.tz/ ๐ฑ App: Iphone User: https://apps.apple.com/us/app/simba-sc/id1564389213 ๐ฑ App: Android User: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&pli=1 ๐ต Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ ๐ธ Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania ๐ Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania ๐ถ Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference ๐ต๐ดโช #NguvuMoja #Wenyenchi