Content removal request!


Simba SC 3-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 15/12/2023

Simba SC imeitandika Kagera Sugar mabao 3-0 kwenye Dimba la Uhuru dar es Salaam, ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya NBC.... Magoli ya Simba kwenye mchezo huu yamefungwa na Saidi Ntibazonkiza kwa penati dakika ya 45, Sadio Kanoute dakika ya 75 na John Bocco dakika ya 90.