SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 30/4/2019)
SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 30/4/2019)

Bao pekee la Hassan Dilunga likifungwa dakika za majeruh, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Dilunga amefunga goli hilo akimalizia pasi ya Emmanuel Okwi wakati zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika katika mechi ngumu na ya ushindani wa aina yake. JKT walionekana wagumu zaidi hasa katika safu yao ya ulinzi iliyoweza kudhibiti mashambulizi makali ya Simba hadi ilipofika dakika ya 90 kabla ya dakika saba kuongezwa lakini Dilunga akafanikiwa kufunga bao hilo kwenye dakika ya saba ya muda nyongeza. Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha pointi 72 na kuendeleza ‘gap’ la pointi tano kati yake ya vinara Yanga SC wenye pointi 77 wakati Azam FC wakiwa nafasi ya tatu na pointi 66. Kwa upande wao JKT Tanzania wamebaki na pointi zao 39 katika nafasi ya 13.

Goli la Simba sc 1-0 JKT Tanzania, Gonga za Okwi na Dilunga, Watu Walivyozizima
Goli la Simba sc 1-0 JKT Tanzania, Gonga za Okwi na Dilunga, Watu Walivyozizima

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

SIMBA VS JKT TZ KIKOSI Kilichoimaliza JKT TZ Dakika za Mwisho
SIMBA VS JKT TZ KIKOSI Kilichoimaliza JKT TZ Dakika za Mwisho

SIMBA VS JKT TZ KIKOSI Kilichoimaliza JKT TZ Dakika za Mwisho Kikosi kitakachoanza 1.Deogratius Munish 2.Zana Coulibary 3.Mohamed Hussen 4.Yusufu Mlipili 5.Erasto Nyoni 6.James Kotei 7.Clatous Chama 8.Mzamiru Yassin 9.John Bocco 10.Meddie Kagere 11.Emmanuel Okwi Kikosi cha akiba 12.Aishi Manula 13.Nicholas Gyan 14.Paul Bukaba 15.Said Ndemla 16.Hassan Dilunga 17.Mohamed Rashid 18.Rashid Juma #SIMBAVSJKTTZ www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Simba 1-0 JKT Tanzania; Goli la Hassan Dilunga dakika majeruhi (TPL - 30/4/2019)
Simba 1-0 JKT Tanzania; Goli la Hassan Dilunga dakika majeruhi (TPL - 30/4/2019)

Bao pekee la Hassan Dilunga likifungwa dakika za majeruh, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Dilunga amefunga goli hilo akimalizia pasi ya Emmanuel Okwi wakati zikiwa zimebaki sekunde chache mpira kumalizika katika mechi ngumu na ya ushindani wa aina yake. JKT walionekana wagumu zaidi hasa katika safu yao ya ulinzi iliyoweza kudhibiti mashambulizi makali ya Simba hadi ilipofika dakika ya 90 kabla ya dakika saba kuongezwa lakini Dilunga akafanikiwa kufunga bao hilo kwenye dakika ya saba ya muda nyongeza. Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha pointi 72 na kuendeleza ‘gap’ la pointi tano kati yake ya vinara Yanga SC wenye pointi 77 wakati Azam FC wakiwa nafasi ya tatu na pointi 66. Kwa upande wao JKT Tanzania wamebaki na pointi zao 39 katika nafasi ya 13.

ALLIANCE FC 0-2 SIMBA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 23/4/2019)
ALLIANCE FC 0-2 SIMBA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 23/4/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa Haruna Niyonzima dakika ya 21 akimalizia krosi ya Mzamiru Yassin na Emmanuel Okwi dakika ya 75 baada ya kuichambua safu ya ulinzi ya Alliance kutokana na pasi safi ya Nicholas Gyan. Kwa matokeo hao, Simba inafikisha pointi 63 ikisalia kwenye nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 66 huku Yanga ikiwa kileleni na pointi 74 wakati Alliance FC ikirejea hatarini tena kwa kusalia katika nafasi yake ya 16 na pointi 37. Ushindi huo unarejesha matumaini kwa Simba katika mbio zake za kutetea taji lake baada ya kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Kagera Sugar mjini Bukoba, na sasa inajiandaa kwa mchezo ujao dhidi ya Alliance FC utakaopigwa Aprili 25, 2019 kwenye uwanja huo huo wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Okwi na Niyonzima Walivyoingia Kufuta Uteja Simba sc vs Alliance fc CCM Kirumba Mwanza
Okwi na Niyonzima Walivyoingia Kufuta Uteja Simba sc vs Alliance fc CCM Kirumba Mwanza

#simbasc #alliancefc #ccmkirumba #tpl SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

MAGOLI YOTE: SIMBA VS ALLIANCE SPORTS ( 2 - 0)
MAGOLI YOTE: SIMBA VS ALLIANCE SPORTS ( 2 - 0)

MAGOLI YOTE: SIMBA VS ALLIANCE SPORTS ( 2 - 0) Mtanange kati ya klabu ya Simba SC na Alliance umemalizika kwa klabu ya Simba kuifunga Alliance mabao (2-0)..... Mtanange huo umechezwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo bao la kwanza la Simba limewekwa kimiani na Kiungo wake, Haruna Niyonzima, huku bao la pili likiwekwa kimiani na Emmanuel Anord Okwi, aliyeingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Nahodha, John Bocco.... #SIMBAVsALLIANCE https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

« Previous Next »

Popular Tags

#Goal Celebrations  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Shot Goals  #Lionel Messi  #Mesut Ozil  #Paul Pogba  #Gareth Bale  #Counter Attack Goals Football  #Allen Iverson  

Popular Users

#_BAnderson30_  #billsimmons  #BillGates  #KimKardashian  #dougferguson405  #rolopez42  #ArianFoster  #realmadrid  #KevinHart4real  #britneyspears  #ddlovato  #ATLHawks  #AdamSchefter  #KylieJenner