Alichokisema KOCHA wa SIMBA Baada ya Kuifunga ALLIANCE!
Alichokisema KOCHA wa SIMBA Baada ya Kuifunga ALLIANCE!

Alichokisema KOCHA wa SIMBA Baada ya Kuifunga ALLIANCE! Makocha wa timu ya Simba na Alliance Sports wamefunguka mipango yao katika michezo ya ligi kuu bara iliyobaki ili kumaliza kwenye nafasi nzuri msimu huu. Mtanange kati ya klabu ya Simba SC na Alliance umemalizika kwa klabu ya Simba kuifunga Alliance mabao (2-0)..... Mtanange huo umechezwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo bao la kwanza la Simba limewekwa kimiani na Kiungo wake, Haruna Niyonzima, huku bao la pili likiwekwa kimiani na Emmanuel Anord Okwi, aliyeingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Nahodha, John Bocco.... #SIMBAVsAALIANCE https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

ALLIANCE 0-2 SIMBA SC TPL 23/4/2019  OKWI NA NIYONZIMA
ALLIANCE 0-2 SIMBA SC TPL 23/4/2019 OKWI NA NIYONZIMA

HARUNA NIYONZIMA na EMMANUEL OKWI wanaipa point tatu muhimu timu ya simba. Uwanja wa CCM KIRUMBA

MAGOLI: ALLIANCE FC 0-2 SIMBA SC (TPL - 23/04/2019)
MAGOLI: ALLIANCE FC 0-2 SIMBA SC (TPL - 23/04/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa Haruna Niyonzima dakika ya 21 Emmanuel Okwi dakika ya 75. Kwa matokeo hao, Simba inafikisha pointi 63 ikisalia kwenye nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 66 huku Yanga ikiwa kileleni na pointi 74 huku Alliance FC ikirejea hatarini tena kwa kusalia katika nafasi yake ya 16 na pointi 37.

KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 20/04/2019)
KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 20/04/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wa pili kwenye ligi hiyo msimu huu kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kagera Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kagera ‘wamewapoteza’ Simba kipindi cha kwanza kwa kuonesha kandanda safi na kufanikiwa kupata mabao mawili yakifungwa na Kassim Khamis dakika ya 18 na Ramadhan Kapera dakika 41. Simba walifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kuwatoa Haruna Niyonzima na James Kotei nafasi zao zikichukuliwa na John Bocco na Hassan Dilunga, mabadiliko ambayo yaliwasaidia kupata bao moja likifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 64. Ushindi wa Kagera Sugar dhidi ya Simba SC leo umeibeba kutoka nafasi ya 17 hadi nafasi ya 13 baada ya kufikisha pointi 39 huku Simba ikiendelea kusalia kwenye nafasi ya tatu na pointi 60.

KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC  20/4/2019             ( KIPORO KIMECHACHIA KAITABA)
KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC 20/4/2019 ( KIPORO KIMECHACHIA KAITABA)

Goli pekee la EMMANUEL OKWI halikuweza kuendeleza ushindi. FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA Baada ya kipigo cha goli 2-1 toka kwa Kagera sugar siku ya leo, Simba inakuwa imepoteza mechi 2 kati ya 24 ilizocheza kwenye ligi msimu huu. Michezo hiyo ni dhidi ya Mbao FC ambapo Simba ilifungwa 1-0 pamoja na mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar 2-1.

MAGOLI: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC (TPL - 20/04/2019)
MAGOLI: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA SC (TPL - 20/04/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wa pili kwenye ligi hiyo msimu huu kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kagera Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kagera ‘wamewapoteza’ Simba kipindi cha kwanza kwa kuonesha kandanda safi na kufanikiwa kupata mabao mawili yakifungwa na Kassim Khamis dakika ya 18 na Ramadhan Kapera dakika 41. Simba walifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kuwatoa Haruna Niyonzima na James Kotei nafasi zao zikichukuliwa na John Bocco na Hassan Dilunga, mabadiliko ambayo yaliwasaidia kupata bao moja likifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 64. Ushindi wa Kagera Sugar dhidi ya Simba SC leo umeibeba kutoka nafasi ya 17 hadi nafasi ya 13 baada ya kufikisha pointi 39 huku Simba ikiendelea kusalia kwenye nafasi ya tatu na pointi 60.

FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA
FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT: Kagera Sugar 2-1 Simba Uwanja: Kaitaba Gooooal  Emmanuel Okwi dk ya 63  Kipindi cha pili kimeanza, Zimeongezwa dakika 5 Goooooal: Kassim Khamis Goooooal: Ramadhan Kapera Zinaongezwa dakika nne Hasan Dilunga njano dk ya 67 Okwi dk ya 64 njano Said Kipao wa Kagra Sugar anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 69, Kassim njano dk ya 73. KASSIM Khamis anawanyanyua mashabiki wa Kagera Sugar dakika ya 20 kwa kuitanguliza timu yake kuongoza mbele ya Simba akimalizia pasi ya Ramadhan Kapera. Dakika ya 40 Kagera Sugar wanapachika bao la pili kupitia kwa Ramadhan Kapera. Kagera Sugar iliyo chini ya kocha Mecky Maxime imeanza kwa kasi kushambulia lango la Aish Manula na kupata kile ambacho ilikuwa inahitai kwa sasa.  Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza kwa Simba dakika ya 63 akimalizia pasi ya Chama. Mashabiki waliojitokeza ni wengi kuona namna ushindani ulivyo huku mashambulizi kwa timu zote yakiwa ni makali. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

« Previous Next »

Popular Tags

#Ronaldinho  #Kevin Durant  #LeBron James  #Kawhi Leonard  #Russell Westbrook  #Chicago Bulls  #Kyrie Irving  #Best Goalkeeper Saves  #Michael Jordan  #Counter Attack Goals Football  

Popular Users

#ArianFoster  #CMPunk  #normmacdonald  #JasonDufner  #TheRealJRSmith  #realDonaldTrump  #MileyCyrus  #KimKardashian  #PMOIndia  #LilTunechi  #Kaepernick7  #espn  #TheEllenShow  #TimTebow