Magoli yote Simba 3-1 Nkana fc, Jonas Mkude, Kagere na Chama
Magoli yote Simba 3-1 Nkana fc, Jonas Mkude, Kagere na Chama

SUBSCRIBE HAPA https://www.youtube.com/channel/UC_m6Lmu4NexLFzafJH5InYA?view_as=subscriber tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



Kocha NKANA, Bahati Yao Simba Tungewafunga, Wametuotea
Kocha NKANA, Bahati Yao Simba Tungewafunga, Wametuotea

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Unaweza kusema ni 'Mwendo Mdundo kwa Simba' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Ushindi Wampagawisha Haji Manara, Mashabiki Wapagawa
Ushindi Wampagawisha Haji Manara, Mashabiki Wapagawa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imefanikiwa kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Simba SC inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Kitwe Jumamosi iliyopita. Mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa mwaka 2003 na walikuwa hao hao Simba SC waliofika hatua hiyo, wakifuata nyayo za wapinzani wao wa jadi, Yanga SC waliokuwa timu ya kwanza nchini kufikia mafanikio hayo mwaka 1998. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Alichosema Kocha wa Simba Baada Ya Ushindi na Nkana
Alichosema Kocha wa Simba Baada Ya Ushindi na Nkana

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mechi ya marudiano ya hatua ya kwanza kuwania kufunzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Nkana FC ya Zambia imemalizika kwa Simba kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Dakika 5 za mwanzo Simba walianza vizuri ila ndani ya dakika 15 walipoteana na kuruhusu bao la dakika ya 16 lililofungwa na Walter Bwalya baada ya kushambulia lango la Simba kwa muda mrefu. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 29 akimalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere aliandika bao kwa kichwa akimalizia pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili dakika ya 88 Claytous Chama alifunga bao akimalizia pasi ya Hassan Dilunga. Simba wanafanikiwa kufuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 4-3 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018. #simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1 Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Best Football Defending Skills  #Tristan Thompson  #LeBron James  #Shaquille O'Neal  #Golden State Warriors  #Goalkeeper Saves  #Allen Iverson  #Michael Jordan  #Gareth Bale  

Popular Users

#nfl  #josecanseco  #BellaTwins  #TheChristinaKim  #LAKings  #DanicaPatrick  #ArianaGrande  #CMPunk  #TheRock  #ATLHawks  #espn  #oldhossradbourn  #KylieJenner  #criscyborg  #Kaepernick7