Simba SC yamuua shabiki wake 'ikiiua' Nkana FC
Simba SC yamuua shabiki wake 'ikiiua' Nkana FC

Aliyekuwa mtunza vifaa mssaidizi wa Taifa Stars, Rajabu Kessi amefariki dunia akiwatazama Mabingwa soka nchini Simba SC wakipambana na Nkana FC ya Zambia kwenye mchezo wa marudiano wa klabu Bingwa Afrika. Maelezo zaidi haya hapa.



Ubaya Hulipwa kwa Ubaya, Nkana Walianza Wao, Simba Wakamalizia hivi Uwanja wa Taifa
Ubaya Hulipwa kwa Ubaya, Nkana Walianza Wao, Simba Wakamalizia hivi Uwanja wa Taifa

SUBSCRIBE HAPA https://www.youtube.com/channel/UC_m6Lmu4NexLFzafJH5InYA?view_as=subscriber tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI
MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI

MASHABIKI WA SIMBA WAKISINDIKIZA GARI BAADA YA MECHI Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mashabiki wa klabu hiyo walishhindwa kuzuia hisia zao na kuamua kusukuma gari lililobeba wachezaji wa klabu hiyo hadi nje ya eneo la uwanja. #SIMBAVSNKANA #MKUDE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - 23/12/2018)
SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - 23/12/2018)

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kuichapa Nkana FC magoli 3-1 katika mchezo wa maruadiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. Baada ya kuaga mashindano haya, sasa Nkana FC wanakwenda kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watalazimika kupitia hatua ya mchujo ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.



GOLI LA JONAS MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1
GOLI LA JONAS MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1

GOLI LA MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1 Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #MKUDE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



Hali ndani ya Simba SC baada ya Ushindi: Simba SC 3 - 1 Nkana Fc
Hali ndani ya Simba SC baada ya Ushindi: Simba SC 3 - 1 Nkana Fc

Hali ndani ya Simba SC baada ya Ushindi: Simba SC 3 - 1 Nkana Fc No Copyright issue. CHANNEL LINKS for royality free musics are:- Somewhere in Nature by Simon More https://soundcloud.com/user-73416670 Creative Commons - Attribution 3.0 Unported - CC BY 3.0 http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Music promoted by Audio library https://youtu.be/Juena1vPUhQ



KOCHA wa NKANA Ataja Goli Simba walilosema OFFSIDE
KOCHA wa NKANA Ataja Goli Simba walilosema OFFSIDE

KOCHA wa NKANA Ataja Goli la SIMBA Ililokuwa OFFSIDE Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.



Simba vs Nkana Fc Magoli yote Tazama hapa
Simba vs Nkana Fc Magoli yote Tazama hapa

https://www.youtube.com/edit?video_id=wLEEyQX0TIY&video_referrer=watch




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Mesut Ozil  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Counter Attack Goals Football  #Gareth Bale  #Football Defensive Skills  #Michael Jordan  #Paul George  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#BringerOfRain20  #_BAnderson30_  #wizkhalifa  #b_ryan9  #RobGronkowski  #SrBachchan  #PMOIndia  #SportsCenter  #BrunoMars  #NiallOfficial  #WWE  #DeAndre  #si_vault  #britneyspears