Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Unaweza kusema ni 'Mwendo Mdundo kwa Simba' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars