Content removal request!


Ushindi Wampagawisha Haji Manara, Mashabiki Wapagawa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imefanikiwa kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Simba SC inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Kitwe Jumamosi iliyopita. Mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa mwaka 2003 na walikuwa hao hao Simba SC waliofika hatua hiyo, wakifuata nyayo za wapinzani wao wa jadi, Yanga SC waliokuwa timu ya kwanza nchini kufikia mafanikio hayo mwaka 1998. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars