KIKOSI CHA SIMBA KINACHOONDOKA LEO SAA 10:00 JIONI KUELEKEA DR CONGO KUWAFUATA AS VITA CLUB. 1.Aishi Manula 2.Beno Kakolanya 3.Ally Salum 4.Shomary Kapombe 5.Joash Onyango 6.Pascal Wawa 7.Ibrahim Ame 8.Erasto Nyoni 9.Peter Mduhwa 10.Kened Juma 11.Gadiel Michael 12.Mohamed Hussein 13.Taddeo Lwanga 14.Jonas Mkude 15.Rally Bwalya 16.Said Ndemla 17.Mzamiru Yassin 18.Luis Miquissone 19.Hassan Dilunga 20.Ibrahim Ajibu 21.Claotus Chama 22.Bernard Morrison 23.Fransis Kahata 24.Meddie Kagere 25.Miraji Athuman 26.Criss Mgalu 27.Junior Lokosa Simba SC watasafiri na wachezaji 27 huku captain John Bocco akiachwa Kutokana na majeraha aliyonayo.
#UchambuziKimbinu #Simba #CafCL TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. JE UNGEPENDA KUI-SUPPORT SOCCERDATA? Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania Goli la Ndemla SIMBA VS KAGERA na Counter Attacks https://youtu.be/g9Xud6hRLDU
MZEE MUCHACHO AKAUKIWA SAUTI LEO, Simba SC IKIIUA FC PLATINUM 4-0 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba na FC Platinum umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa bao 4-0, mabao yaliyofungwa na Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, John Bocco na Clatous Chama. Kipindi cha pili kilianza kwa Simba kuendelea walipoishia kwani waliingia kwa kushambulia kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza na dakika ya 50, Luis Miquisone alipiga mkwaju wa faulo uliogonga mwamba wa juu baada ya kuangushwa na beki wa Platinum nje kidogo ya boksi la 18. FC Platinum nao walionekana kuchachamaa kwa kwani katikati ya dakika 50 hadi 55 waliweza kupata kona mbili ambazo hazikuleta madhara yeyote kwenye lango la Simba, pia dakika ya 57 mshambuliaji mmoja wa Platinum alikosa bao la wazi akiwa amebaki yeye na kipa na kupiga mpira uliotoka nje. Dakika ya 60 Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Said Ndemla na nafasi yake kuchukuliwa na Ibrahim Amme na dakika ya 61 Simba wakapata bao la pili kupitia kwa beki wao wa kulia Shomari Kapombe. Baada ya bao hilo la pili kwa Simba mchezo mchezo kwa ujumla ulifunguka na timu zote mbili kuanza kucheza kws kutafuta bao japo Plutinum walionekana kuliandama mara kwa mara goli la Simba. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
#SIMBAvsKAGERA #Ndemla #Analysis TANGAZA NA SOCCERDATA KWA BEI NAFUU: Tangaza Nasi ili uweze kuwafikia Mamilioni ya Watu kwa Wakati mmoja. Kwa Mawasiliano: PIGA: 0710 679 388, WhatsApp 0742 679 388 Email: sekwaomwendi24@gmail.com, P.O BOX 60 Gairo, Morogoro. JE UNGEPENDA KUI-SUPPORT SOCCERDATA? Kwa wewe ambaye Ungependa Kuichangia SoccerData kama Sehemu ya Kuisapoti ili iendelee kukuletea Uchambuzi wa Kina na wa kiufundi zaidi, Unaruhusiwa kufanya hivyo kama sehemu ya kutuunga Mkono. MCHANGO WAKO NI MUHIMU KATIKA KUKULETEA UCHAMBUZI BORA ZAIDI. ICHANGIE SOCCERDATA KUPITIA: TigoPesa: 0710 679 388. BARIKIWA SANA. Tazama Playlist za SoccerData zenye video zote: 1. Habari za Simba: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrLBhBC4TtRZOL950O4LKPcR 2. Habari za Yanga: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrK9xowD9th9XEXndCG-wleh 3. Habari za SoccerData: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJNqJ5hm-2ciTDDOytLsWAS 4. Stori za Soccer: https://youtube.com/playlist?list=PLLH5fYDlRTrJLvsf_h0SV8wt1osZaELmD Tufuate katika kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii Facebook: SoccerData Instagram: SoccerData_Tanzania
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Simba SC leo wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco na Said Ndemla. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz