Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024
Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024

John Bocco amefunga magoli mawili dakika ya 21 na 26, akiiongoza JKT Tanzania kuichapa Tabora United mabao 4-2 ,katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Edward Songo dakika ya 58 na Said Ndemla dakika ya 63... huku magoli ya Tabora United yakifungwa na Offen Chikola dakika ya 42 na Yacouba Sogne dakika ya 90. Haya hapa magoli yote sita....

Magoli yote | Team Kibwana 2-6 Team Dickson | mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024
Magoli yote | Team Kibwana 2-6 Team Dickson | mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024

WAPE TABASAMU: Team Kibwana kwa mara ya tatu imekula kichapo safari hii ikipigwa 6-2 na Team Job katika mchezo wa hisani wa #WapeTabasamu2024 uliopigwa Uwanja wa jamhuri. Morogoro. Magoli ya Team Job yametoka kwa Eng. Hersi Said (13'), Said Ndemla (234'), Prince Dube (27'), George Mpole (78'), Samson Mbangula (79') na Edwini , Balua 90'+4. Magoli yote mawili ya Team Kibwa yamefungwa na Saimon Msuva dakika ya 30 kwa free-kick na dakika ya 47 kwa penati. Haya hapa magoli yote manane.

Singida Big Stars 3-0 Namungo | Highlights | NBC Premier League 02/12/2022
Singida Big Stars 3-0 Namungo | Highlights | NBC Premier League 02/12/2022

Magoli matatu yaliyofungwa na Said Ndemla dakika ya 29, Medie Kagere dakika ya 66 na Amisi Tambwe dakika ya 90+3 ...

Magoli |  Singida Big Stars 3-0 Namungo | NBC Premier League 02/12/2022
Magoli | Singida Big Stars 3-0 Namungo | NBC Premier League 02/12/2022

Magoli matatu yaliyofungwa na Said Ndemla dakika ya 29, Medie Kagere dakika ya 66 na Amisi Tambwe dakika ya 90+3 ...

Mtibwa Sugar 1-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 07/05/2022
Mtibwa Sugar 1-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 07/05/2022

Goli pekee la Said Hamis Ndemla limeipa alama tatu Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani Morogoro. Tazama highlights

Goli la Said Ndemla | Mtibwa Sugar 1-0 Mbeya City | NBC Ppremier League 07/05/2022
Goli la Said Ndemla | Mtibwa Sugar 1-0 Mbeya City | NBC Ppremier League 07/05/2022

Goli pekee la Said Hamis Ndemla limeipa alama tatu Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani Morogoro. Hili hapa goli lenyewe.

Magoli ya Mtibwa ikiibanjua Biashara United 2-0 NBC Premier League 12/12/2021
Magoli ya Mtibwa ikiibanjua Biashara United 2-0 NBC Premier League 12/12/2021

Mtibwa Sugar imepata ushindi wake wa kwanza leo kwa kuitandika Biashara United mabao 2-0 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Dimba la Manungu, Turian Morogoro. Goli la kwanza kwa Mtibwa ilikuwa ni penati ya Nzigamasabo Styve huku goli la pili likiwekwa nyavuni na Said Ndemla.

Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Kevin Durant  #Stephen Curry  #Best Football Defending Skills  #Amazing Solo Goals  #Best Goals  #Kobe Bryant  #Los Angeles Lakers  #Philadelphia 76ers  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#RealSkipBayless  #BaileyLAKings  #GNev2  #rihanna  #Ky1eLong  #Buccigross  #tigerwoods  #geniebouchard  #mcuban  #JLo  #MichelleDBeadle  #BarackObama  #MileyCyrus  #BMcCarthy32  #fauxpelini