Content removal request!


Highlights | Namna Simba ilivyopeleka kilio Mwadui FC (5-0) - VPL 31/10/2020

Ni kama kidonda kimetoneshwa baada ya Simba kuirarua Mwadui FC kwa bao 5-0. Vijana hao kutoka Shinyanga wametoka kufungwa na JKT Tanzania kwa jumla ya mabao 0-6, kabla ya kuvaana na mnyama. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz