Content removal request!


Mwadui FC 1-0 Dodoma Jiji FC | Highlights - VPL 01/01/2021

Baada ya kuukosa ushindi katika mechi kumi zilizopita, hatimaye Mwadui FC imepata ushindi wake wa kwanza ukiwa ni wa nne kwenye VPL msimu huu, ikiichapa Dodoma Jiji FC bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo ambalo ndilo la kwanza kwa mwaka 2021 ni Wallece Kiango dakika ya 87. Tazama Highlights. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz