Content removal request!


Mwadui waichomolea bao Polisi dakika ya 90 na kupata sare ya 1-1; Tazama highlights - 18/12/2020

MWADUI FC 1-1 POLISI TANZANIA: Mwadui FC imepata sare yake ya kwanza baada ya kupoteza mechi tano mfululizo, ikifungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli yamefungwa na Daruesh Saliboko, huku Mwadui wakisawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Salum Chubi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz