#LIVE: Balaa zito laibuka ndani ya Simba | Kisa Jwaneng Galaxy | Uongozi wasema haya Mtandao wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5 Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz Channel Administered by Slide Digital.
#LIVE: Balaa zito laibuka ndani ya Simba | Kisa Jwaneng Galaxy | Uongozi wasema haya Mtandao wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5 Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz Channel Administered by Slide Digital.
Timu ya Simba imeweza kujibu shutma zinazomkabili mchezaji wa Simba Chris Mugalu kuhusu kuwatolea maneno machafu mashabiki wa Simba Kupitia kwa mwekezaji wa Simba Modewji wameweza kutoa tamko "Simba ni familia kubwa iliyotawaliwa na upendo na mara zote tutabaki kuwa wamoja #NGUVUMOJA 💪 Kurasa zote zinazotumia jina la mchezaji wetu Chris Mugalu sio SAHIHI (FAKE). Kwasasa Chris hatumii mtandao wa Instagram, na atakapokuwa tayari kufungua ukurasa wake tutawajulisha." #simbasc #mugalu #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
KUPITIA MTANDAO WA INSTAGRAM MUHAMASISHAJI WA MABINGWA WA KIHISTORIA ANTONIO NUGAZ AMEPOST MAMBO MAZITO KUHUSU CHAMA TAZAMA FULL VIDEO HAPA #SIMBA #YANGA #CHAMA #NUGAZ
UCHAMBUZI: Matokeo SIMBA Vs AL AHLY | Simba Walifeli Wapi? Klabu ya soka ya Simba imekubali kipigo cha goli tano kwa sifuri kutoka kwa Al Ahly ya Nchini Misri katika michuano ya kombe la mabingwa barani Afrika CAF. Kipigo hiko kinaifanya Simba kuwa na jumla ya magoli ya kufungwa 10 kwa 3, na ikumbukwe simba katika kundi D imeshinda mchezo mmoja tu dhidi ya JS Soura. Kufuatia matokeo hayo Global TV imemtafuta Mchambuzi wa masuala ya soka, Saleh Ally Jembe, ambaye maechambua mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa Simba walionekana kuzidiwa hasa katika dakika 45 za kipindi cha kwanza. #SIMBAVsALAHLY ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB
WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya Azam FC kumenyana na Biashara United, kikosi hicho kimejinasibu kuendelea kupata matokeo mazuri ili kufikia malengo yake. Mabingwa hao wa makombe mawili msimu huu baada ya kufanikiwa kutetea Kombe la Kagame na Mapinduzi Cup, wamekuwa kwenye mwenendo mzuri msimu huu hadi sasa ikishika nafasi ya pili kwenye za Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa na pointi 44. Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz Nahodha wa Azam FC, Agrey Moris, amesema kuwa wanajua mchezo utakuwa mgumu lakini watajipanga vema kuweza kupata matokeo. “Biashara ni timu nzuri ukiangalia wamepata kocha mpya kwa vyovyote timu inayopata kocha mpya wachezaji wanakuwa wanajitolea mara mbili zaidi ya mwanzo ila kama sisi Azam siku zote tunajipanga kuhakikisha tunapata matokeo kwenye michezo yetu. “Kwa sababu hii ni ligi ni safari ndefu bila kushinda mechi inayokuja mbele huwezi ukafikia lengo, tumejipanga vizuri wachezaji wote wako vizuri tutahakikisha tunapata matokeo kwenye mchezo huo,” alisema mchezaji huyo wa muda mrefu wa Azam FC. Kihistoria timu hizo zimekutana mara moja tu kwenye ligi, tokea Biashara ipande kucheza Ligi Kuu msimu huu, ambapo mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Karume, mjini Musoma uliisha kwa suluhu. #TimuBoraBidhaaBora #AfricanFrutiImenogaFresh #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited
VIKOSI VYA MAANGAMIZI SIMBA VS JS SAOURA Kikosi cha Klabu ya Simba SC na Kikosi cha Waarabu wa JS Saoura kutoka Algeria wakiingia uwanjani tayari kwa kuumana huku kila kikosi kikionekana kumpania mwenzake. Mtanange kati ya vikosi hivyo viwili umechezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar na kushuhudiwa na Viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Michezo, Dkt harrison Mwakyembe, Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson. #SIMBAVsJSSOURA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB
KIKOSI CHA Simba Kikiingia Uwanja wa Taifa KIKOSI cha timu ya Simba kikiongozwa na Kocha wake, Patrick Aussems kimewasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar kwa ajili ya kuumana na Waarabu wa JS Saoura kutoka Algeria. #SIMBAVsJSSOURA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB