USIPIME: Simba Wafanya Mazoezi Makali Kuivaa JS SAOURA
USIPIME: Simba Wafanya Mazoezi Makali Kuivaa JS SAOURA

USIPIME: Simba Wafanya Mazoezi Makali Kuivaa JS SAOURA KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi yake katika uwanja wa Boko Veteran uliopo nje kidogo ya jiji la Da r es salaam kikiwa kinajiandaa na mchezo wao dhidi ya Js Saoura katika hatua ya mekundi ambao unatarajiwa kupigwa jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. #SIMBAVSJSSAOURA #MAZOEZIYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuoB



Undani wa shangilia ya Messi vs Ruvu Shooting; Amtaja mwanaye
Undani wa shangilia ya Messi vs Ruvu Shooting; Amtaja mwanaye

MASHABIKI wengi wa soka wamekuwa wakiwa na maswali mengi kuhusu staili ya ushangiliaji ya winga Ramadhan Singano ‘Messi’, aliyofanya jana Alhamisi mara baada ya kufunga bao dhidi ya Ruvu Shooting. Singano akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz amesema kuwa ameshangilia bao kwa staili hiyo akimshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kumjalia mke wake kupata mtoto wa kiume mwanzoni mwa wiki hii, akiwa ni mtoto wake wa kwanza kwenye maisha yake. “Staili yangu ni kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumjalia mke wangu kunipa mtoto wa kiume, shangilia ile ilikuwa inamaanisha herufi ya ‘Y’ jina la baba yangu Yahya na mtoto wangu nikimpa jina la Yahya Ramdhan Singano,” alisema winga wa Azam FC, Ramadhan Singano 'Messi'. #TimuBoraBidhaaBora #AfricanFrutiImenogaFresh




« Previous


Popular Tags

#Football Skills  #Counter Attack Goals Football  #Best Goalkeeper Saves  #Kobe Bryant  #Golden State Warriors  #Zlatan Ibrahimovi  #Neymar  #Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Boston Celtics  

Popular Users

#MichelleDBeadle  #BrunoMars  #DanicaPatrick  #alexmorgan13  #hunterpence  #twitter  #BaileyLAKings  #LilTunechi  #Kaepernick7  #iamsrk  #HEELZiggler  #TheRealJRSmith  #britneyspears  #SimplyAJ10