Timu ya Simba imeweza kujibu shutma zinazomkabili mchezaji wa Simba Chris Mugalu kuhusu kuwatolea maneno machafu mashabiki wa Simba Kupitia kwa mwekezaji wa Simba Modewji wameweza kutoa tamko "Simba ni familia kubwa iliyotawaliwa na upendo na mara zote tutabaki kuwa wamoja #NGUVUMOJA 💪 Kurasa zote zinazotumia jina la mchezaji wetu Chris Mugalu sio SAHIHI (FAKE). Kwasasa Chris hatumii mtandao wa Instagram, na atakapokuwa tayari kufungua ukurasa wake tutawajulisha." #simbasc #mugalu #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania