ALIKAMWE AFUNGUKA UTAMBULISHO WA MCHEZAJI MPYA DIRISHA DOGO |HAPATOSHI Hakika ni za kweli #simba #yanga #simbayanga #mpira #sport #kombeladunia #worldcup
#inkmediatz #africanfootballleague #nbcpremierleague #cafcl
NUSU FAINALI AFL: Zilikuwa ni dakika 90 za moto licha ya kumalizika bila bao... Al Ahly wakatupwa nje ya michuano ya African Football League na Mamelodi Sundowns kwa matokeo ya jumla ya bao 1-0 kufuatia kichapo ilichokipata kwenye mchezo wa kwanza nchini Afrika Kusini. Hii ni mechi ya mkondo wa pili ikipigwa jijini Cairo nchini Misri Mamelodi wakimaliza pungufu baada ya mchezaji wao Mandieta kulimwa red card...... Tazama highlights....
Mtangazaji na Mchambuzi wa soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ameuchambua kiundani mchezo wa Oktoba 20,2023 wa African Football League kati ya Simba SC na Al Ahly,utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 12:00 jioni. Pia mzinga ameeleza namna alivyofarijika kuona Ufunguzi wa Michuano hiyo kufanyika Tanzania
''Nimefurahi sana baada ya kupewa taarifa kuwa hii wiki itaitwa jina langu. Mimi kama mchezaji jukumu langu ni kucheza na sina aahadi nyingine yoyote kwa wananchi kwasababu hakuna anaefahamu kesho hivyo nawaomba wajitokeze kwa wingi kupata burudani siku ya jumamosi pale Azam Complex. Msimu uliyopita na msimu huu umekua tofauti kwangu niseme tu ni mapenzi ya mungu jitihada zangu ndio zinasababisha vitu vyote hivi mimi kuonekana Bora namshukuru sana mungu'-Aziz ki
https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji βWingaβ wake Mahlatsi Makudubela βSkuduβ hayupo kwenye mipango yake na amempa programu maalum kwa ajili ya kumuweka sawa kabla hajaanza kumtumia kwenye kikosi chake huku akisema hakuna mchezaji aliye juu ya timu. Skudu alijiunga na Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mallumo Gallant ya Afrika Kusini, ambapo tangu amejiunga na timu hiyo amefanikiwa kucheza mechi moja ya kimashindano kabla ya kuumia goti ambalo lilimpelekea arejee kwao Afrika Kusini kabla ya kurudi tena nchini juma lililopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? β«οΈ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 β«οΈ Email: dar24newsroom@gmail.com β«οΈ Website: www.dar24.com β«οΈ Instagram: @Dar24news β«οΈ Facebook: @dar24 β«οΈ Twitter: @Dar24News #yangasc #asecmimosas #gamondi