''Nimefurahi sana baada ya kupewa taarifa kuwa hii wiki itaitwa jina langu. Mimi kama mchezaji jukumu langu ni kucheza na sina aahadi nyingine yoyote kwa wananchi kwasababu hakuna anaefahamu kesho hivyo nawaomba wajitokeze kwa wingi kupata burudani siku ya jumamosi pale Azam Complex. Msimu uliyopita na msimu huu umekua tofauti kwangu niseme tu ni mapenzi ya mungu jitihada zangu ndio zinasababisha vitu vyote hivi mimi kuonekana Bora namshukuru sana mungu'-Aziz ki
UTACHEKA MCHOME MAPOVU AMVAA AHMED ALLY KUHUSU AZIZ KI BAADA YA YANGA KUITINGA FAINALI NA AZAM FC
GODY YANGA AWACHANA AZAM BORA WAACHE HABARI ZA MPIRA WANASAJILI WACHEZAJI PESA NDEFU LAKINI WAPI
EXCLUSIVE: ZANDANIII RICARDO MOMO AWEKA WAZI USAJILI WA CHAMA KUJIUNGA NA YANGA/ KIBU DENIS HATARI
MCHOME MAPOVU AKUTANA NA JIMMY KINDOKI APIGILIA NYUNDO KUFUNGWA NA SIMBA AWATAJA WACHEZAJI WA YANGA
MCHOME MAPOVU MAPEMA AWAHOFIA YANGA ATOA AHADI NZITO SIMBA WAKIWAFUNGA YANGA KWA MKAPA
HAJI MANARA AICHAMBUA DERBY AWAGUSIA WACHEZAJI, VIONGOZI NA MASHABIKI KUELEKEA KWENYE DERBY
MCHOME MAPOVU AIBUKA AIRPORT KUWAPOKEA YANGA AWATUMIA UJUMBE MZITO SIMBA KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO