Content removal request!


EXCLUSIVE: AZIZ KI AWAITA MASHABIKI WA YANGA NJOONI JUMAMOSI DHIDI YA AL-MERRIKH AKOSHWA NA KI DAY

''Nimefurahi sana baada ya kupewa taarifa kuwa hii wiki itaitwa jina langu. Mimi kama mchezaji jukumu langu ni kucheza na sina aahadi nyingine yoyote kwa wananchi kwasababu hakuna anaefahamu kesho hivyo nawaomba wajitokeze kwa wingi kupata burudani siku ya jumamosi pale Azam Complex. Msimu uliyopita na msimu huu umekua tofauti kwangu niseme tu ni mapenzi ya mungu jitihada zangu ndio zinasababisha vitu vyote hivi mimi kuonekana Bora namshukuru sana mungu'-Aziz ki