East African number one Youtube channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS KANUNI NA MUONGOZO Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali. WeAreEverywhere #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
LIVE: EXCLUSSIVE na Rais wa Yanga Eng Hersi Said Anaufungua Mwaka Jahazini | Maisha Yake
Simba Pro tunakuletea Mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Mshambuliaji anaetajwa kutua Simba katika dirisha hili la usajili Mambo hayo yatakufanya uweze kufahamu ubora wa nyota huyo pamoja na jinsi alivokua katika maisha yake ya Soka alikotoka kama utaona umepata kitu kimya basi usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu Mtangazaji wako na mchambuzi naitwa Dullah Hassan. Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana
........................................................... Contact Us : 0742447854 ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/rickmediatz --------------------------------------------------------------------------------- Website www.rickmediatz.com -----------------------------------------------------------------------------------
#Simba #AFL #alahly KARIBU AJE FARMS; https://www.youtube.com/@aje-farmsmashambayanayotem7392 AJE-FARMS LTD ni kampuni binafsi inayojishughulisha na Kilimo Biashara Mseto kwa kufanya shughuli za Kilimo na Ufugaji AJE-FARMS ilisajiriwa rasmi Tanzania mwaka 2016. Ni kampuni iliyoanzishwa na Madaktari wawili wa binadamu wote Dr .Hartig & Dr.Ibrahim Mdashiru ambao wote huamini kwenye "KINGA NI BORA KULIKO TIBA" na wote wanaamini kuwa magonjwa mengi yanaweza kukingwa kwa LISHE SAHIHI na mitindo bora ya maisha.Kilimo ni njia ya kwanza muhimu ya kukabiliana na magonjwa ! Kupitia chaneli hii tunalenga kuelimisha watazamaji/wafuatiliaji wa vipindi vyetu mbinu bora za kilimo biashara,ujasiriamali na mitindo bora ya maisha. Kupitia chaneli hii tutakusaidia kuyafikia masoko yenye tija kwa wakati,kuongeza thamani ya mazao yako, kulima kibiashara,kukupa msaada wa kupata teknolojia na zana bora za kilimo wakati wote. Timu yetu ya wataalam inaweza kukufikia popote na kukusaidia kutatua changamoto za kilimo & ufugaji. SUBSCRIBE NA UJIFUNZE ZAIDI JUU YA FURSA ZA KILIMO BIASHARA
#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Salim Mtango kuhusiana na maisha yake ya ngumi na ugomvi wake na Hassan Mwakinyo.
Mfahamu kwa undani shabiki na mwanachama wa Simba SC, Justine Mwakitalima historia ya maisha yake nje ya ushabiki . Mpenja Tv tumefunga safari mpaka nyumbani kwa Mwakitalima Ubungo Kisiwani, Mtaa wa Amani na kuzungumza masuala mbalimbali hususani maisha yake na namna pia anavyoishi na majirani zake tofauti na Ushabiki wa Mpira.