UEFA NATIONS LEAGUE FINAL: SUNDAY 18TH JUNE 2023: • Croatia vs Spain || 9:45pm. LIVE on 102.7 Radio Maisha . If you're tuned retweet 🔄 #UEFANationsLeague Unategea ukiwa wapi?
UEFA Nations League Final ⚽⚽ Croatia vs Spain 9:45pm LIVE on Radio Maisha na @SMukangai na @walterkinjo #DanadanaViwanjani #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
AFCON Qualifiers⚽⚽ Uganda vs Algeria 6pm LIVE on Radio Maisha na @SMukangai na @walterkinjo #DanadanaViwanjani #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
AFCON Qualifiers ⚽⚽ South Africa vs Morocco LIVE on Radio Maisha from 6pm🕕 @SMukangai @walterkinjo #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi #DanadanaViwanjani
UEFA Nations League Semi Final kati ya Spain na Italy live on Radio Maisha at 9:45pm naye @SMukangai. #DanaDanaViwanjani #RadioZaidiYaRadio
KIMENUKA HAJI MANARA AVUJISHA SAUTI FEI TOTO AKIFUNDISHWA NAMNA YA KUIONGELEA YANGA KWA MABAYA LEO!!In @mangekimambi_ voice,,Fei achafua hali ya hewa,, Mungu huwa na sababu zake hadi kuwezesha hii Clip kuvuja, Feisal na Meneja wake wakifundishana jinsi ya kujibu uongo. Eti Ugali na Sukari alikula Yanga wakati wa utawala uliopita na sio sasa,hivi Kuna Mtu nchi hii anakula Ugali na Sukari? Ipo Club inafanya hivyo nchini? Meneja unadiriki kumfundisha huyo Mtoto aseme uongo ili udhalilishe watu? Mara Msola mzuri mara utawala wake ulimlisha Ugali na Sukari? Hivi unapomfundisha kuwa Hersi @caamil_88 alimyanyasa, kwa nini husemi hayo manyanyaso? Mmemuingiza chaka huyu dogo lakini ioo siku fahamu zitamrudia na atakuja kuwachukia maisha yenu yote. Hivi mshajua kwa nini hizo Sauti zenu zimavuja? Ni Mungu huyo kataka kuwadhalilisha, halaf mmeenda Makka kuhiji? Hijja gani mnayo wakati mnafundishana dhulma ya kuwachafua wenzenu Hakuna Taqwa hapo na Mungu kawaumbua Kweupeeee,,Bad luck mmevujisha wenyew bila kujijua,,Na Sisi tunapeleka hii Clip CAS kama kielelezo cha nia ovu ya tamaa ya wanaomzunguka ktk kulazimisha kuvunja mkataba,, Hata ile michongo kumbe ni gia tu ya kujipatia pesa,,Kiko wapi sasa? Mmemuona Mungu alivyo Mtukufu? Asante sana Muumba wetu,,🙏🏻🙏🏻 #hajimanara #feisal #feisalsalum #feitoto #yangasc #yangasc
JIMMY MANZAKA AWATOA HOFU WANANCHI/MARUMO TUNAWAFUNGA/SIRI MAISHA YAKE YA MZIKI/WIMBO WAKE NI ...