Azam FC 1-0 Polisi Tanzania - Highlights
Azam FC 1-0 Polisi Tanzania - Highlights

Azam FC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, bao pekee likifungwa na kiungo Mudathir Yahya. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Mudathir Yahya laipa ushindi wa 1-0 Azam dhidi ya Polisi Tanzania, Abalora aokoa penati
Goli la Mudathir Yahya laipa ushindi wa 1-0 Azam dhidi ya Polisi Tanzania, Abalora aokoa penati

Azam FC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, bao pekee likifungwa na kiungo Mudathir Yahya. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/details… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mashabiki Simba Wamkataa Kocha 'Tunaumia Kubebwa'
Mashabiki Simba Wamkataa Kocha 'Tunaumia Kubebwa'

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sixtus Sabilo alianza kuifungia Polisi Tanzania kipindi cha kwanza kabla ya Simba SC kuzinduka kipindi cha pili kwa mabao ya Nahodha wake, mshambuliaji John Raphael Bocco na kiungo Ibrahim Ajibu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



KOCHA SIMBA Aeleza Mfumo Wakumchezesha KAGERE na BOCCO
KOCHA SIMBA Aeleza Mfumo Wakumchezesha KAGERE na BOCCO

.KOCHA SIMBA Aeleza Mfumo wa Kumchezesha KAGERE na BOCCO Kocha Mkuu wa Simba Sven Venderbroeck amesema kuwa amepanga katika mechi hii kuwaanzisha Kager na Bocco mfumo wa kuchezesha mastraika wawili. GERSON Fraga, kiungo mkabaji wa Simba leo amemaliza shughuli Uwanja wa Taifa kwa kuifungia timu yake mabao 2-0 mbele ya Coastal Union. Fraga amefunga mabao hayo dakika ya 7 na 78. Timu zote ndani ya Ligi Kuu Bara zimecheza jumla ya mechi 18 na ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 47 kibindoni, UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline



Magoli Yote :Simba Sc 2-1 Mwadui Fc |Goals &Highlights|Kahata Na chama Ni Moto Taifa.
Magoli Yote :Simba Sc 2-1 Mwadui Fc |Goals &Highlights|Kahata Na chama Ni Moto Taifa.

FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele ya Mwadui FC, Uwanja wa Taifa wakati Simba ikishinda mabao 2-1. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa kisasi kwa Simba baada ya kuchapwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara na bao lilifungwa na Mdamu ambaye leo amefunga pia bao kwa Mwadui. Mwadui FC ilianza kufunga bao la kwanza dakika ya 34 kupitia kwa Gerald Mdamu dakika ya 34 akimalizia pasi ya Ludovick. Bao pekee la kuweka mzani kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama akiwa nje ya 18 dakika ya 45+2. Kipindi cha pili Simba walifanya mashambulizi ya kutafuta bao la ushindi sawa na Mwadui na dakika ya 84 ilijiandikia bao la pili la ushindi kupitia kwa Francis Kahata aliyemalizia pasi ya Shomari Kapombe kwa kichwa na kuwanyanyua mashabiki wa Simba. Simba inatinga hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho na Mwadui FC inafungasha virago jumla.



MANARA : SIMBA YA KWANZA AFRICA /TUNAHITAJI WACHEZAJI WA GHARAMA  KUBWA.
MANARA : SIMBA YA KWANZA AFRICA /TUNAHITAJI WACHEZAJI WA GHARAMA KUBWA.

Mabadiriko ya uwanja utakaotumika katika mechi kati ya simba na Mwadui, Yametajwa na manara wakati akizungumza na waandishi wa habari. hata hivyo timu hizo zinakutana zikiwa na kumbukumbu ya simba kufungwa Goli 1:0 na Mwadui, lakini Simba inaibuka na kusema lazima ilipe kisasi. fuatilia mechi hiyo kupitia channel hii na usisahau kuSUBSCRIBE. #SIMBAVSMWADUI #MANARA #UWANJAWATAIFA Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA, huku kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya akiwemo kati yao. Simba inajianda na mechi ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Simba wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kufungwa katika mchezo wa ligi uliopigwa Uwanja wa Kambarage huko Shinyanga ambao ulimalizika kwa Mwadui kushinda bao 1-0. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja Mkuu wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu alisema kuwa kikosi chao kitaingia kambini leo jioni huko Ndege Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Rweyemamu alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yanakwenda vizuri na wachezaji wote wataingia kambini tayari kwa kuwawinda Mwadui kwa ajili ya kulipa kisasi cha kufungwa katika ligi. Aliongeza kuwa kiungo wao wa zamani Kichuya huenda akawa katika sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini baada ya hivi karibuni kusaini mkataba wa kuichezea Simba. “Kesho (jana), timu yetu itaingia kambini rasmi huko Ndege Beach tulipoweka kambi ya kudumu katika msimu huu kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Mwadui. “Tunafahamu umuhimu mkubwa wa kombe hili, hivyo ni lazima timu yetu ipate matokeo mazuri ili tuendelee na mashindano hayo na mwisho wa siku tuweze kuchukua kombe hilo. “Maandalizi yanakwenda vizuri na timu yetu na wachezaji wote wataingia kambini kujiandaa na mchezo huo, pia Kichuya huenda akawa sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini kama atakuwa amekamilisha baadhi ya vitu vyake kati yake na uongozi baada ya kusaini mkataba Simbva,” alisema Rweyemamu ambaye ni miongoni mwa wanachama wanaoaminika sana na uongozi wa juu wa Simba. SIMBA INATAKA KUWEKA REKODI



HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA
HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA

HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ushindi wa leo wa mabao 4-0 mbele ya Lipuli uwanja wa Uhuru ni zawadi ya mashabiki siku ya X-Mass na umetokana na umakini wa kutumia makosa ya wapinzani wao kupata matokeo. Kwenye jumla ya mabao 4-0 ambayo Simba imefunga leo, Dilunga alifunga mabao mawili dakika ya 57 kwa mkwaju wa penalti na la pili dakika ya 65 akimalizia pasi ya Sharaf Shiboub huku lile la ufunguzi likifungwa na Francis Kahata akimalizia pasi ya Shomari Kapombe dakika ya 10 na la pili Meddie Kagere alipachika akimalizia pasi ya Clatous Chama. GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0)  MAGOLI YOTE VPL
SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL

SIMBA VS MBEYA CITY (4 - 0) MAGOLI YOTE VPL KIKOSI cha Simba leo kimelipa kisasi cha kupoteza mchezo wake mbele ya Mwadui FC kwa kufungwa bao 1-0 uwanja wa Kambarage kwa kuichapa mabao 4-0 Mbeya City. uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru. Mchezo wa leo ulikuwa ni wa ushindani mkali ambapo iliwalazimu Simba kusubiri mpaka dakika ya 8 kuandika bao la kwanza kupitia kwa Meddie Kagere ambaye alifunga bao hilo kwa penalti baada ya Miaji Athuman kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la 18. Kazi haikuishia hapo zikiwa zimebaki dakika tatu kwenda muda wa mapumziko dakika ya 43 kiungo Clatous Chama alifunga bao la pili akiwa nje ya 18 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu mpira uliomshinda mlinda mlango wa Mbeya City na kuifanya Simba kwenda vyumba vya mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0. Kipindi cha pili Simba ilianza kwa kufanya mabadiliko kwa kumtoa Miraj ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Francis Kahata mambo yakazidi kuwa magumu kwa Simba ambapo Mbeya City ilichangamka kutafuta mabao ya kusawazisha huku ikimtumia mshambuliaji wao Peter Mapunda. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li




« Previous Next »


Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Michael Jordan  #Philadelphia 76ers  #Cristiano Ronaldo  #Thomas Muller  #Best Goals  #New York Knicks  #Football Defensive Skills  #Football Skills  #Counter Attack Goals Football  

Popular Users

#rolopez42  #instagram  #JJWatt  #mcuban  #KylieJenner  #DwyaneWade  #RSherman_25  #ArianFoster  #CP3  #obj  #BMcCarthy32  #DeionSanders  #alexmorgan13  #BaileyLAKings